Bunge

“Hatujaridhika na urejeshaji fedha za mikopo ya KKK”

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii imesema haijaridhishwa na urejeshaji mikopo ya fedha za mradi wa…

Soma Zaidi »

Halmashauri ya Mbulu yatakiwa kutekeleza maagizo ya LAAC

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeitaka Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu kufanyia kazi…

Soma Zaidi »

Kamati yampongeza Samia kufufua chuo ufundi stadi

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufufua Chuo cha…

Soma Zaidi »

Wapongeza Sh bilioni 3.5 kutumika uzalishaji vifaranga vya samaki

KINGOLWIRA, Morogoro: KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Utawala , Katiba na Sheria imeipongeza Serikali kwa kutoa fedha zaidi ya…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 5 kuendeleza ujenzi hospitali ya Rufaa Katavi

DODOMA: SERIKALI imetenga Sh bilioni 5 katika mwaka wa fedha 2023/2024 kuendelea na ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa…

Soma Zaidi »

Mbunge alia na mabilioni ya wamachinga

DODOMA; Mbunge wa Viti Maalumu, Riziki Saidi Lulida (CCM), amehoji fedha zinazokusanywa za wamachinga zinakwenda wapi na kuongeza kuwa mpaka…

Soma Zaidi »

Serikali: Tutatengeneza ajira milioni 7

DAR ES SALAAM: Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kutengeneza nafasi za kazi zaidi ya milioni 7 ifikapo 2025, ikisisitiza umuhimu…

Soma Zaidi »

Barabara Tanzania, nchi jirani kujengwa kwa awamu

SERIKALI imesema inaendelea na ujenzi na ukarabati wa barabara zinazounganisha Tanzania na nchi zote za jirani ikiwemo DR Congo kwa…

Soma Zaidi »

Serikali, PPP kushirikiana ujenzi wa barabara

WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali imepanga kuanza ujenzi wa barabara kwa ushirikiano wa Sekta Binafsi na Umma (PPP)…

Soma Zaidi »

Halmashauri zaelekezwa kuwapa mafuta wenye ualbino

​WAZIRI wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dk Festo Dugange amesema serikali imezielekeza halmashauri zote…

Soma Zaidi »
Back to top button