Bunge

Mbunge Shangazi aulizia Barabara Kwekanda– Hekicho – Mkomazi

DODOMA; SERIKALI imesema katika mpango wa bajeti mwaka 2024/25, imetenga Sh milioni 313, ili kukamilisha uwekaji wa changarawe, tabaka la…

Soma Zaidi »

‘Tunaendelea na mkakati ujenzi vituo vya ukaguzi’

DODOMA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali inaendelea na mpango mkakati wa ujenzi wa vituo vya ukaguzi katika maeneo mbalimbali…

Soma Zaidi »

Spika ‘apiga pini’ kuteta na Waziri Mkuu bungeni

DODOMA; SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson, amezuia wabunge na mawaziri kwenda kuzungumza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu…

Soma Zaidi »

‘Tujiandae kwa fursa AFCON 2027’

DODOMA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kujiandaa na fursa mbalimbali kwa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika mwaka…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Wapeni mikopo wenye hati za kimila za ardhi

DODOMA: SERIKALI imetoa wito kwa taasisi za kifedha ikiwemo benki kutoa fusa mbalimbali ikiwemo mikopo kwa wananchi wenye hati za…

Soma Zaidi »

Bunge laelezwa fursa vivuko Kigamboni

DODOMA: BUNGE limeelezwa kuwa kuna fursa katika uendeshaji wa vivuko katika eneo la Kigamboni – Kivukoni mkoani Dar es Salaam.…

Soma Zaidi »

Kamera kufungwa mizani 56 kukabili rushwa nchini

DODOMA: WIZARA ya Ujenzi imesema mfumo wa kamera za CCTV na taarifa za vipimo vya uzito wa magari utafungwa katika…

Soma Zaidi »

Wageni wavuna fedha za miradi kuliko wazawa

DODOMA: SERIKALI imesema asilimia kubwa ya fedha zilizotengwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inawanufaisha wageni kutoka nje…

Soma Zaidi »

Athari za El-Nino kugharimu bil 986/-

DODOMA: SERIKALI imesema matengenezo ya miundombinu iliyoathirika na mvua za El – Nino yanahitaji Sh bilioni 986. Waziri wa Ujenzi,…

Soma Zaidi »

Barabara za Kivule, Mpiji Magoe, Bonyokwa zatengewa fungu

DODOMA; WIZARA ya Ujenzi katika mwaka wa fedha 2024/25, imetenga kiasi cha Sh bilioni 9.7 kwa ajili ya mradi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button