Bunge

Serikali yazungumzia ujenzi daraja Mto Mkondoa

DODOMa; SERIKALI imesaini mkataba na Mhandisi Mshauri wa kufanya kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa daraja la…

Soma Zaidi »

Bei vocha za kukwangua zapandishwa kinyemela

DODOMA: SERIKALI imetoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA), kufuatilia suala la baadhi ya wafanyabiashara kudaiwa kupandisha kinyemela bei…

Soma Zaidi »

‘Flyover’ yanukia makutano Mwenge, Morocco

DODOMA; SERIKALI inaendelea na mazungumzo na Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) kwa ajili ya ujenzi wa barabara za juu…

Soma Zaidi »

Mambo yaiva ujenzi daraja Jangwani

DODOMA; Utekelezaji wa ujenzi wa Daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam lenye urefu wa mita 390 unatarajiwa kuanza mwaka…

Soma Zaidi »

Bashungwa aja na vipaumbele 9 ujenzi

DODOMA; WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewasilisha bajaeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024/2025 yenye vipaumbele tisa. Akiwasilisha…

Soma Zaidi »

Wabunge wapitisha bajeti Mambo ya Nje

DODOMA; WABUNGE wamepitisha bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Mapema leo Waziri wa Mambo…

Soma Zaidi »

Ndugulile awania ukurugenzi Shirika la Afya Duniani

DODOMA; Mbunge wa Kigamboni, Dk Faustine Ndugulile, amejitokeza kuwania nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani kwa Kanda ya…

Soma Zaidi »

Mambo ya Nje waomba bajeti Sh Bil 241

DODOMA; WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imeomba kuidhinishiwa jumla ya Sh 241,069,232,000 kwa Mwaka wa…

Soma Zaidi »

Diaspora wamwaga fedha uwekezaji Tanzania

DODOMA; SERIKALI imesema mwamko wa Diaspora katika kuchangia maendeleo ya Taifa umeendelea kuongezeka. Kauli hiyo imetolea na Waziri wa Mambo…

Soma Zaidi »

Makamba aanika vipaumbele 5 Mambo ya Nje

DODOMA; Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba ametaja vipaumbele vitano vya wizara hiyo katika…

Soma Zaidi »
Back to top button