Siasa

We Chalamila umepigaje hapo!

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema hatoacha kumtaja na kumsifu Rais Samia Suluhu…

Soma Zaidi »

Komandoo Salmin, Dk Shein wasisitiza usiri vikao CCM

ZANZIBAR: RAIS Mstaafu wa Zanzibar Dk Salmin Amour Juma amewataka viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukisimamia vyema chama hicho,…

Soma Zaidi »

Marais wastaafu wataka usiri

ZANZIBAR: HATIMAE Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Salmin Amour Juma kwa mara ya kwanza ameonekana adharani baada ya miaka kadhaa…

Soma Zaidi »

ACT wataka mabadiliko ya sheria vyombo vya haki jinai

DAR ES SALAAM: CHAMA cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kupeleka bungeni muswada wa marekebisho ya katiba ya Jamhuri ya Muungano…

Soma Zaidi »

‘Wabunge hawajapandishwa mshahara’

DODOMA: OFISI ya Bunge, kitengo cha mawasiliano imekanusha taarifa za wabunge kuongezewa mishahara kutoka Sh milioni 13 hadi 18. Taarifa…

Soma Zaidi »

CCM yashinda udiwani Kigoma Ujiji

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kiti cha udiwani katika Kata ya Kasingirima Manispaa ya Kigoma Ujiji, baada ya mgombea wa…

Soma Zaidi »

CCM Iringa yakaribisha maelekezo ya Kheri James

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Iringa, Daudi Yasin amesema chama chao kinatambua uwezo binafsi wa kisiasa wa Mkuu…

Soma Zaidi »

Mvua yaleta changamoto uchaguzi Kigoma

UPIGAJI kura katika uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Kasingirima Manispaa ya Kigoma Ujiji umeendelea, huku ikielezwa hali ya amani…

Soma Zaidi »

Mchinjita Waziri Mkuu Kivuli ACT Wazalendo

KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amemteua Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho, Isihaka Mchinjita kuwa Waziri Mkuu…

Soma Zaidi »

Vijana wanufaika mradi wa bomba la mafuta

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema mradi wa bomba la mafuta ghafi kwa upande wa…

Soma Zaidi »
Back to top button