Siasa

Wapongeza Sh bilioni 3.5 kutumika uzalishaji vifaranga vya samaki

KINGOLWIRA, Morogoro: KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Utawala , Katiba na Sheria imeipongeza Serikali kwa kutoa fedha zaidi ya…

Soma Zaidi »

Siwezi kujiunga CCM – Juma Duni

MWENYEKITI mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji amesema hawezi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi. Akizungumza leo Machi…

Soma Zaidi »

Nchimbi: ‘Tuwekeze zaidi kwa wanawake’

ZANZIBAR: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel  Nchimbi ametoa wito kwa jamii kuendelea na jitihada zake…

Soma Zaidi »

ACT Wazalendo yasaka ufalme Afrika

CHAMA cha ACT Wazalendo kinatazamia ndani ya miaka mitano ijayo kuwa taasisi imara zaidi inayojiendesha kwa misingi ya kitaasisi kuliko…

Soma Zaidi »

Mndeme aishukuru ACT, katibu mambo ya nje

KATIBU mpya wa Mambo ya Nje wa chama cha ACT Wazalendo, Mwanaisha Mndeme amekishukuru chama hicho kwa kuchakuliwa kushika nafasi…

Soma Zaidi »

Chadema kutoa tamko Bima ya Afya

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajia kutoa tamko kuhusiana na Bima ya Afya nchini kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake…

Soma Zaidi »

Dorothy Semu amrithi Zitto

ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amechaguliwa kuwa Kiongozi wa ACT akichukuwa nafasi ya Zitto…

Soma Zaidi »

Mchinjita ashinda makamu mwenyekiti Bara

MKUTANO Mkuu wa ACT Wazalendo umemchagua Isihaka Mchinjita kuwa Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho kwa kupata kura 517 sawa…

Soma Zaidi »

‘Uhusiano wa Tanzania, Urusi ni wa kihistoria’

UHUSIANO thabiti kati ya Urusi na Tanzania, ulioanzia miaka ya 1960 mapema wakati Tanzania ilipojitenga na utawala wa ukoloni wa…

Soma Zaidi »

Rais Samia amuapisha Dk Mataragio

ZANZIBAR: Rais Samia Suluhu Hassan amemuapisha Dk James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati kwenye hafla…

Soma Zaidi »
Back to top button