Siasa

CCM, CPC kuendeleza mahusinao ya kirafiki

KATIBU  Mkuu wa CCM, Ndugu Daniel Chongolo ameendelea na ziara kikazi nchini China huku akiongozana na viongozi wengine wa CCM,…

Soma Zaidi »

Samia atajwa kinara utawala bora

SERIKALI imelieleza Bunge kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni kinara wa utawala bora nchini. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,…

Soma Zaidi »

Spika aagiza uchambuzi hoja za CAG

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameziagiza kamati za kudumu za bunge zinazohusika na matumizi na fedha za umma zifanye…

Soma Zaidi »

Bunge laagiza uchunguzi mkataba wa matrekta

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameagiza ufanywe uchunguzi kuhusu changamoto na athari za mkataba wa mauziano ya matrekta ya…

Soma Zaidi »

Serikali yalipa bil 26/- malimbikizo ya mishahara

SERIKALI imelipa Sh bilioni 25.7 ambazo ni madai ya malimbikizo ya mishahara kwa watumishi 14,398 hadi mwezi Machi mwaka huu.…

Soma Zaidi »

Serikali yasifu watumishi ujenzi uchumi

SERIKALI imesema utumishi wa umma ni nguzo muhimu katika uendeshaji na uendelezaji wa nchi na umeendelea kutoa mchango ulioiwezesha Tanzania…

Soma Zaidi »

Serikali kufanya utafiti mmomonyoko wa maadili

WIZARA ya Katiba na Sheria inatarajia kuunda timu itakayojumuisha wadau wa serikali na wa Tume ya Kurekebisha Sheria kufanya utafiti…

Soma Zaidi »

Spika aagiza itafutwe njia kusambaza mbolea ya ruzuku

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameiagiza Wizara ya Kilimo itafute njia au mawakala mbadala wasambaze mbolea baada ya serikali…

Soma Zaidi »

Wabunge wataka uwiano wa kimkoa, kiwilaya nafasi za ajira

WABUNGE wameishauri serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) izingatie uwiano wa kimikoa na…

Soma Zaidi »

Bajeti Tamisemi yapita

BUNGE a Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa…

Soma Zaidi »
Back to top button