Siasa

Majaliwa ataka hatua wananchi kuteswa, kuuawa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amelitaka Jeshi la Polisi kuchunguza matukio yote yaliyotolewa taarifa kuhusu kuteswa, kuumizwa na kuuawa kwa baadhi…

Soma Zaidi »

Rais Kagame kuwasili Dar leo

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame anatarajiwa kuwasili nchini leo kwa ziara ya kikazi siku moja. Taarifa ya Kitengo cha Mawasiliano…

Soma Zaidi »

Serikali yapiga marufuku operesheni za kuviziana

SERIKALI imepiga marufuku operesheni zote zinazofanyika kwa kuviziana na kutaka wananchi washirikishwe katika hatua zote ikiwa ni pamoja na kupewa…

Soma Zaidi »

Asasi: Uongozi usiwe fursa kiuchumi

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Asas amewafananisha baadhi ya viongozi wa chama hicho na…

Soma Zaidi »

Wizara Sheria yapitishiwa bajeti ya Sh Bil 383.6

BUNGE la Tanzania, limepitisha bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ya jumla ya Sh…

Soma Zaidi »

Mutungi asifu wingi wa wanawake katika siasa

MSAJILI wa vyama vya siasa, Jaji Francis Mutungi amesema ushiriki wa wanawake katika siasa umekua ukipiga hatua kila mwaka licha…

Soma Zaidi »

Bunge laagiza NEMC kudhibiti muziki wa kelele kwenye makazi

BUNGE limeitaka Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira kupitia Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira…

Soma Zaidi »

Asasi yazindua shindano la habari za mabadiliko

ASASI ya kiraia inayofanya uchechemuzi wa haki za kidijitali, demokrasia na uwajibikaji na utawala bora, Jamii Forum imezindua awamu ya…

Soma Zaidi »

CHADEMA waipongeza serikali

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Magharibi kimeipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuboresha mazingira ya kufanya…

Soma Zaidi »

Jaji Masaju, Dk Mayunga wateuliwa

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji George Masaju kuwa Mshauri  wa Rais masuala ya sheria. Jaji Masaju ni Jaji wa…

Soma Zaidi »
Back to top button