Siasa

Chongolo aonya vijana kuendekeza kamari

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amewaonya vijana kuacha kubahatisha maisha kwa kuendekeza kucheza kamari siku mzima…

Soma Zaidi »

Rais Samia: Najua kupuliza zumari

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema anasubiri kwa hamu ripoti ya Tume ya Haki Jinai aliyoizindua jana ili aweze kupuliza zumari.…

Soma Zaidi »

Rais Samia atoa maagizo 6 kuepusha migogoro

RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa maelekezo sita kwa mihimili ya sheria nchini ili iweze kutoa haki kwa wakati na kuepusha…

Soma Zaidi »

Rais Samia asaini miswada mitatu

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson amelieleza Bunge kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amesaini miswada mitatu iliyopitishwa katika Bunge la…

Soma Zaidi »

Atabiri mtikisiko baraza la mawaziri

NABII Philbert Paschal ametoa unabii na kusema kuwa muda wowote kuanzia sasa kutatokea mtikisiko kwenye mabadiliko yanayokuja ya Baraza la…

Soma Zaidi »

Chongolo ashauri wananchi kufunga mita za maji

WANANCHI wa Kijiji cha Msolwa B wilayani Kilombero, wameshauriwa kufunga mita za maji katika nyumba zao, ili kulipa maji kadri…

Soma Zaidi »

CCM  Buguruni wamwangukia Rais Samia

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Buguruni wamemuangukia Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu na kumuomba kuitupia…

Soma Zaidi »

Mwenyekiti Chadema Mikumi ahamia CCM

MWENYEKITI wa Jimbo la Mikumi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Bakari Hasani amekihama chama hicho na kujiunga na…

Soma Zaidi »

Chongolo aonya kuiga mila zisizofaa

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amekemea mmomonyoko wa maadili katika jamii na kuwataka wazazi na walezi…

Soma Zaidi »

Wami Dakawa waomba wasaidiwe kumalizia zahanati

WANANCHI wa Kijiji cha Wami Dakawa, mkoani Morogoro wamemuomba Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Daniel Chongolo kuwasaidia ili fedha…

Soma Zaidi »
Back to top button