Siasa

HABARI KUU: Septemba 30, 2022

HABARI KUU: Septemba 30, 2022 Mkusanyiko wa Habari Kuu kutoka chumba cha HabariLEO jijini Dar es Salaam leo Septemba  30,…

Soma Zaidi »

Wabunge wa zamani waibukia uenyekiti CCM wilaya

BAADHI ya wabunge waliokuwa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nyakati tofauti ni miongoni mwa wanachama wa…

Soma Zaidi »

HABARI KUU: Septemba 27, 2022

Mkusanyiko wa Habari Kuu kutoka chumba cha HabariLEO jijini Dar es Salaam leo Septemba 27, 2022 jioni.

Soma Zaidi »

Majaliwa ashiriki mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani Japan

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary leo Septemba 27, 2022 wameshiriki katika mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Waziri Mkuu Waziri…

Soma Zaidi »

UVCCM waonywa kubweteka kujitafutia maendeleo

VIONGOZI wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma wametakiwa kutobweteka badala yake wafanye kazi za kujiingizia kipato…

Soma Zaidi »

Watakiwa kuchagua kwa kuzingatia sifa si ‘vimemo’

WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wametakiwa kuchagua viongozi kwa kuzingatia sifa za mwombaji. Kauli hiyo ilitolewa na Msimamizi wa…

Soma Zaidi »

Samia aongoza kikao  CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  Rais Samia Suluhu Hassan, leo ameongoza kikao cha Kamati Kuu Maalumu ya Halmashauri Kuu…

Soma Zaidi »

Mwinyimvua kidedea wazazi Arusha

MWENYEKITI wa Umoja wa Wazazi Mkoa wa Arusha, Ally Mwinyimvua, amemetetea nafasi yake ya uenyekiti kwa awamu ya pili na…

Soma Zaidi »

Waonywa kugawa mashamba pori yaliyofutwa

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Fatma Mwasa, amewaonya wataalamu wa ardhi wa mkoa huo kuacha mpango wa kugawa kwa wawekezaji wengine…

Soma Zaidi »

Mussa Mwenyekiti mpya UVCCM Nyamagana 

MUSSA Abdallah ameibuka kuwa Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Wilaya ya Nyamagana. Msimamizi mkuu wa uchaguzi…

Soma Zaidi »
Back to top button