Siasa

Kinana: Muwe wakali kuisimamia serikali

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amewataka wabunge na madiwani wa chama hicho wawe wakali katika…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi ataka busara kuchagua viongozi

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametaka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) watumie vizuri demokrasia kwa kuchagua viongozi kwa…

Soma Zaidi »

Kwaheri Mikhail Gorbachev  

RAIS wa zamani wa USSR, Mshindi wa tuzo ya Nobel, Mikhail Gorbachev aliaga dunia Agosti 30 mwaka huu, akiwa na…

Soma Zaidi »

Kinana akemea ukabila CCM Kigoma

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekemea udini, ukabila na ukanda kwa wanachama wake wanaowania uongozi na kuagiza mtu wa aina hiyo…

Soma Zaidi »

Balozi Fatma: Watumishi fanyeni kazi kwa bidii, ushirikiano

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab, amewasihi watumishi wa Ubalozi…

Soma Zaidi »

Mwigulu aeleza umuhimu wa tozo

WABUNGE nchini waliamua kupitisha tozo mbalimbali, ili zisaidie miradi mikubwa ya kimkakati iliyopo nchini. Kauli hiyo imetolewa muda mfupi uliopita…

Soma Zaidi »

Tamisemi yamsimamisha DED achunguzwe

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri…

Soma Zaidi »

Uturuki yaipongeza Tanzania kukabili ugaidi

BALOZI wa Uturuki nchini, Dk Mehmet Gulluoglu amesema serikali ya nchi yake itaendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika masuala…

Soma Zaidi »

Tanzania, Qatar kushirikiana sekta ya Afya

UJUMBE wa Tanzania uliopo ziarani nchini Qatar umekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Hamad Medical Corporation (HMC) Jijini Doha,…

Soma Zaidi »

Utetezi kesi ya Ole Sabaya waitaka Mahakama Kuu

UPANDE wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi namba mbili, 2022 inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole…

Soma Zaidi »
Back to top button