Dodoma

Sababu zaelezwa watoto wachanga kugeuka njano

TAFITI zimeonesha kuwa tatizo la manjano likitokea ndani ya saa 24 baada ya kuzaliwa mtoto, ni suala la kiafya na…

Soma Zaidi »

Bunge laridhia Itifaki ya Mahakama ya EAC

BUNGE limeridhia Itifaki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ya kuongeza Mamlaka ya Mahakama ya jumuiya hiyo kwa lengo la…

Soma Zaidi »

Serikali yafafanua malipo kwa mstaafu aliyefariki

SERIKALI imesema malipo ya mafao kwa mstaafu aliyefariki dunia huzingatia kanuni zilizopo na ikitokea amefariki mfuko hulipa mafao ya mkupuo,…

Soma Zaidi »

Bunge laridhia itifaki kudhibiti vitendo vya kigaidi

BUNGE limeridhia Itifaki ya Mkataba wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika wa Kuzuia na Kupambana na Ugaidi ya Mwaka…

Soma Zaidi »

‘Msisitizo diplomasia ya uchumi, upatikanaji masoko’

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali kuweka msisitizo katika utekelezaji wa diplomasia ya uchumi na…

Soma Zaidi »

Masauni: Nchi ipo salama, operesheni inaendelea

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema nchi iko salama huku akiwasihi wananchi kuendelea na shughuli…

Soma Zaidi »

Ummy amshukuru Samia bima ya afya kwa wote

WIZARA ya Afya imemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia pendekezo la kutunga Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote.…

Soma Zaidi »

Tanzania yajipanga kuwa kitovu mawasiliano

TANZANIA itakuwa kitovu cha maunganisho ya mawasiliano Afrika Mashariki na Kati kutokana na kuwapo kwa mkongo wa mawasiliano wa pili…

Soma Zaidi »

Norway yajionea utekelezaji miradi ya TASAF

UJUMBE wa watu kutoka Serikali ya Norway umetembelea ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma kuona maendeleo ya mpango wa kunusuru…

Soma Zaidi »

Wabunge wapigilia msumari agizo la Samia TBA

WABUNGE wameshauri Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kushirikiana na sekta binafsi ili kuongeza uwezo wa kujenga nyumba nyingi zitakazosaidia kupunguza…

Soma Zaidi »
Back to top button