Tanzania

‘Huduma uchukuzi zimeimarishwa kukidhi viwango’

DODOMA: WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema wizara hiyo kupitia Mamlaka za Udhibiti nchini, zimeendelea kuimarisha na kuboresha huduma…

Soma Zaidi »

Wakulima kupewa elimu kilimo cha tija

MRADI wa Kilimo na Lishe Tanzania (NOURISH -Tanzania), umeandaa siku ya wakulima katika wilaya 10 za mikoa mitano nchini kwa…

Soma Zaidi »

Madiwani wampongeza Samia utekelezaji miradi Kigoma

KIGOMA: BARAZA la Madiwani na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu limemshukuru na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kutokana…

Soma Zaidi »

Msigwa: Charles Hilary kaacha somo kwa waandishi

  SERIKALI imesema aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Zanzibar, Charles Hilary ameacha fundisho kuwa…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi asifu uzalendo wa Charles Hilary

MAMIA ya waombolezaji wamemzika aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Charles Hilary…

Soma Zaidi »

Mpango ataka bustani kutafiti dawa

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ametoa rai kwa viongozi wa mikoa kwa kushirikiana na taasisi za misitu na utafiti…

Soma Zaidi »

Hukumu rufaa kesi ya kiraia mbioni kutolewa

DAR ES SALAAM: MAHAKAMA ya Rufaa ya Tanzania kwa mara ya kwanza imesikiliza kesi ya haki za binadamu ya kupinga…

Soma Zaidi »

WMA yakagua vifaa zaidi ya milioni moja 2024/25

WIZARA ya Viwanda na Biashara kupitia Wakala wa Vipimo (WMA), imekagua na kuhakiki jumla ya vifaa vya vipimo 1,013,859 katika…

Soma Zaidi »

Manispaa Geita yavuka 90% ukusanyaji mapato

GEITA: HALMASHAURI ya Manispaa ya Geita imefanikiwa kukusanya kiasi cha Sh bilioni 18.05 sawa na asilimia 93.06 ya lengo la…

Soma Zaidi »

Wabunge mikoa ya Magharibi watembelea Bandari ya Karema

KATAVI: WABUNGE kutoka mikoa ya Katavi, Rukwa na Kigoma wametembelea Bandari ya Karema iliyopo wilayani Tanganyika, mkoani Katavi, kushuhudia maendeleo…

Soma Zaidi »
Back to top button