Tanzania

DC Kahama ataka wakulima wa tumbaku kupewa kipaumbele

SHINYANGA: MKUU wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Mboni Mhita ameziomba taasisi za fedha kuendelea kuwajali wakulima wa zao la…

Soma Zaidi »

“Tumia mswaki miezi mitatu tu”

DAR ES SALAAM: Daktari bingwa wa kinywa na meno, Josephati Kunji kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Epiphany iliyopo…

Soma Zaidi »

Elimu haki za binadamu kuingizwa kwenye mtaala

DODOMA: SERIKALI ya Tanzania inakusudia kuingiza elimu ya haki za binadamu katika mtaala wa shule na vyuo ili kupunguza matukio…

Soma Zaidi »

Biteko kuhitimisha kilele maadhimisho miaka 30 VETA

Soma Zaidi »

Majaliwa aagiza bidhaa kukidhi viwango

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za kudhibiti viwango nchini kuhakikisha bidhaa zote zinazozalishwa zikiwemo za afya zinakidhi ubora unaotakiwa…

Soma Zaidi »

Vyama vya ushirika vyatakiwa kutumia mfumo kidigitali

VYAMA vya Ushirika vimeagizwa kutumia Mfumo wa Kidigitali wa  Usimamizi wa Vyama vya Ushirika ( MUVU) ili kuwezesha upatikanaji wa…

Soma Zaidi »

Ataka bodaboda, bajaji wabanwe kuzuia ajali

KITUO cha umahiri wa usalama barabarani kwa nchi za Afrika Mashariki na Kusini kimetaka sheria za usalama barabarani zisimamiwe madhubuti…

Soma Zaidi »

Mwanamke afariki dunia akiwa gesti Mwanza

MWANZA: MWANAMKE mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika amekutwa amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni (Guest House) iliyopo wilayani…

Soma Zaidi »

PAC yataka ziwekwe samani ATC kampasi ya Kikuletwa

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imekiagiza Chuo cha Ufundi Arusha(ATC) kuweka samani katika majengo mbalimbali…

Soma Zaidi »

TLS yawajengea uwezo mabaraza ya ardhi ya kata Iringa

KUTOKANA na changamoto ya baadhi ya mabaraza ya ardhi ya kata kutoa maamuzi badala ya kusuluhisha, Chama cha Wanasheria Tanganyika…

Soma Zaidi »
Back to top button