Tanzania

Mhasibu mahakamani kwa upotevu wa zaidi ya milioni 48

MHASIBU msaidizi wa Zahanati ya Endanachani , Mohamed Baya ,33, mkazi wa Babati wilayani Babati mkoani Manyara amefikishwa mahakamani na…

Soma Zaidi »

Samsung kuimarisha ubunifu akili mnemba na matumizi ya kidijitali Tanzania

Dar es Salaam: Katika kuashiria ujio mpya wa teknolojia ya simu zinazotumia akili mnemba (AI), Samsung imekuja na toleo mpya…

Soma Zaidi »

Mil 229/- kuwezesha mikopo vikundi maalum

KATIKA kipindi cha mwaka wa fedha 2024/25 Halmashauri ya Wilaya ya Longido mkoani Arusha imetenga Sh milioni 229 kwa ajili…

Soma Zaidi »

Wananchi Engaruka waanza kulipwa fidia

WANANCHI 50 kati ya 599 kutoka vijiji vinne vilivyopo Kata ya Engaruka wilayani Monduli wameanza kulipwa fidia ya Sh bilioni…

Soma Zaidi »

Jifunze Kiswahili

To day we are looking for the Swahili word which start with letter G Ghala means warehouse,pantry.storage, storeroom.granary. But in…

Soma Zaidi »

Noti mpya kuingia kwenye mzunguko Februari Mosi

GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema noti mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk…

Soma Zaidi »

Jacob’s Daughters kuzinduliwa kesho

TAMTHILIA ya Jacob’s Daughters ambayo inachunguza kwa kina maisha ya dada wanne wa mama mbalimbali bali baba mmoja, inatarajia kuzinduliwa…

Soma Zaidi »

Watoto waende shule – DC Tandahimba

MADIWANI katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara wametakiwa kuendelea kuwahimiza wazazi na walezi ambao bado hawajawapeleka watoto shule…

Soma Zaidi »

Tamasha la Busara kukusanya mamilioni ya fedha

TAMASHA la Kimataifa la Sauti za Busara msimu wa 2025 linatarajia kutengeneza dola milioni 10 za mapato kwa uchumi wa…

Soma Zaidi »

Jifunze Kiswahili

To day we are looking for the Swahili word which start with letter G Ghala means warehouse,pantry.storage, storeroom.granary. But in…

Soma Zaidi »
Back to top button