Tanzania

Samia ateua majaji wane, ampangia kituo balozi

RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa majaji wa Mahakama ya Rufani, wenyeviti wa bodi na kumpangia kituo cha kazi…

Soma Zaidi »

Watu 33,000 hufariki matumizi nishati isiyo safi

ARUSHA: TAKRIBANI watu 33,000 kwa mwaka wanafariki nchini tanzania ikiwa ni moja ya athari ya matumizi ya nishati isiyo safi…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi asamehe wafungwa wanafunzi 33

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi 33 wanaotumikia adhabu za makosa yoyote katika Chuo cha Mafunzo…

Soma Zaidi »

SMZ kujenga kilometa 300 barabara za lami

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali imeamua kuongeza idadi ya barabara zitakazojengwa kwa kiwango cha lami hadi kufikia…

Soma Zaidi »

Kitandula ahimiza ukamilishaji miundombinu Mikumi

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula amehimiza kukamilishwa kwa miradi mbalimbali ya miundombinu chini ya Mradi wa Kuboresha…

Soma Zaidi »

Sera, mitaala mipya elimu sasa rasmi

KUELEKEA kuanza safari ya mageuzi katika sekta ya elimu, Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo…

Soma Zaidi »

BASHUNGWA AITAKA IDARA YA UHAMIAJI KUTOA HUDUMA NZURI WA WAGENI, KUCHOCHEA UTALII.

ZANZIBAR: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuwa mstari wa mbele kuchochea…

Soma Zaidi »

UWT yatoa cherehani kwa wajasiriamali Pemba

PEMBA: UMOJA wa Wanawake Tanzania (UWT) umekabidhi cherehani kumi kwa wanawake wajasiriamali wanaojishughulisha na shughuli za ushonaji wa nguo katika…

Soma Zaidi »

Mwinyi: SMZ imevuka lengo la Ilani ujenzi wa barabara

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imevuka lengo la Ilani ya…

Soma Zaidi »

Bil 14/- kulipa fidia wakazi Engaruka

SERIKALI imetoa Sh bilioni 14.4 kutelelezaji mradi wa ulipaji fidia, mradi wa magadi soda ya Engaruka uliopo wilayani Monduli mkoani…

Soma Zaidi »
Back to top button