Tanzania

Tamasha la Msangamkuu Beach lazinduliwa

MKUU wa Wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipaya amezidua rasmi Tamasha la Msangamkuu Beach Festival msimu wa nne linalofanyika katika Kata…

Soma Zaidi »

 Ulega ataka ubora barabara Mbande -Msongola

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Mbande hadi Msongola yenye urefu wa kilometa 3.8…

Soma Zaidi »

Matukio makubwa mwaka 2024: Rais Samia aweka historia G20

MWAKA 2024 Tanzania iliandika historia nyingine baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kupata mwaliko wa kushiriki mkutano mkubwa wa nchi…

Soma Zaidi »

“Miundombinu ya barabara iboreshwe kuepusha msongamano”

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Tarura, Tanroads,…

Soma Zaidi »

Mkandarasi apewa miezi 3 kumaliza ujenzi wa barabara

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa miezi mitatu kwa mkandarasi wa barabara ya Msongola -Mbande kukamilisha barabara hiyo kwa viwango…

Soma Zaidi »

MATUKIO MAKUBWA MWAKA 2024: Ujasiri wa Dk Tulia waonekana IPU

DAR ES SALAAM; 2024 ni mwaka ulioambatana na matukio makubwa yaliyoweka historia katika nyanja za siasa, ikiwa ni pamoja na…

Soma Zaidi »

Ulega afanya ziara ya kushtukiza miradi BRT

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo Jumamosi Desemba 28, kukagua maendeleo ya ujenzi…

Soma Zaidi »

Samia aiagiza tena Polisi ajali za barabarani

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka madereva wa vyombo vya usafiri kuendelea kuwa makini na waangalifu zaidi barabarani na kuliagiza Jeshi…

Soma Zaidi »

Polisi waonywa kukamata bodaboda kwa fimbo

POLISI mkoani Kigoma wametakiwa kuacha tabia ya kutumia nguvu ikiwemo kuwachapa fimbo waendesha pikipiki maarufu bodaboda wanapofanya makosa barabarani. Mwenyekiti…

Soma Zaidi »

Sababu 4 zatajwa kuimarika uchumi, Shilingi

DAR ES SALAAM; MWANASIASA mkongwe nchini, Stephen Wasira ametaja sababu nne zilizofanya uchumi kuimarika pamoja na kuongezeka thamani kwa Shilingi…

Soma Zaidi »
Back to top button