Tanzania

Sekondari Hagati kupokea wanafunzi Julai

DODOMA: NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Deogratius Ndejembi amesema shule ya sekondari ya Hagati wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma inatarajia…

Soma Zaidi »

Wahandisi washauri kuongezewa ujuzi

BODI ya Usajili wa Wahandisi (ERB) imetakiwa kuongeza wigo kwa kuwapa uwezo wahandishi washauri kuhakikisha ujuzi unakuzwa katika miradi mbalimbali…

Soma Zaidi »

Miradi ya Sh bilioni 3 yacheleweshwa Arusha

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana Rushwa mkoani Arusha (TAKUKURU) imebaini ucheleweshaji wa miradi mitatu ya elimu yenye thamani ya zaidi…

Soma Zaidi »

Ucheleweshwaji mizigo bandarini kupatiwa ufumbuzi

CHANGAMOTO  ya uchelewashwaji wa mizigo bandarini huenda ikapatiwa ufumbuzi. Hayo yamethibitishwa leo Februari 08, 2024, jijini Dar es Salaam na…

Soma Zaidi »

Wanajeshi 14 wafa kwa kipindupindu DR Congo

TAKRIBANI wanajeshi 14 wamekufa nchini DR Congo na wengine 500 wameathiriwa na mlipuko wa kipindupindu Kusini-Mashariki mwa Mkoa wa Haut-Katanga,…

Soma Zaidi »

Mfumo kufundisha mbashara waanza

SERIKALI imeanza majaribio ya mfumo wa ufundishaji mbashara ambao mwalimu mmoja anaweza kufundisha wanafunzi wa nchi nzima kwa wakati mmoja.…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 29 zatekeleza miradi mitano Magu

MKUU wa Wilaya ya Magu, Rachel Kassanda amesema katika kipindi cha Juali hadi Desemba 2023 wilaya hiyo ilipokea Sh bilioni…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi ataka mahakama uhujumu uchumi kuanza kazi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameagiza taasisi zinazo husika na sheria kukamilisha mchakato…

Soma Zaidi »

Msigwa aridhishwa ujenzi ofisi ya wizara yake

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa jengo jipya…

Soma Zaidi »

Takukuru yabaini risiti feki za EFD Shinyanga

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru )mkoani Shinyanga imebaini mfumo wa stakabadhi za Mashine za Kielektroniki (EFD) kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button