Tanzania

RC Geita aonya kugombanisha mihimili ya serikali

MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela amekemea wananchi kupeleka malalamiko yao ofisi ya Mkuu wa Mkoa baada ya hukumu…

Soma Zaidi »

Serikali kujenga kituo cha mabasi Mkaneledi

SERIKALI imetoa pesa kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha mabasi cha Mkanaledi kilichopo kata ya Magomeni Manispaa ya Mtwara…

Soma Zaidi »

Asilimia 71 kidato cha kwanza waripoti Ubungo

WANAFUNZI 11,271 ambao ni sawa na asilimia 71.51 mpaka sasa kwa mwaka huu 2024, wameripoti kidato cha kwanza katika Wilaya…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 6 kutekeleza miradi ya maendeleo Ushetu

HALMASHAURI ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga imepokea zaidi ya Sh bilioni 6.5 sawa na asilimia 55 ya bajeti iliyotengwa…

Soma Zaidi »

“Imarisheni uhusiano, kusikiliza matatizo ya walimu”

MIGOGORO, kuhujumiana na kupunguza ari ya utendaji kazi katika maeneo ya kazi, husababisha utoaji wa huduma kuwa chini ya kiwango.…

Soma Zaidi »

Watafiti kutatua changamoto mabadiliko tabia nchi

WATAFITI nchini wametakiwa kuunda timu ya watafiti waliobobea vizuri kwenye maeneo yao, ili kuandika andiko linalolenga kutatua changamoto zitokanazo na…

Soma Zaidi »

Asilimia 50 wananchi Katavi ni watoto

IMEBAINIKA kuwa idadi kubwa ya wananchi waliopo mkoani Katavi asilimia 50 ni watoto. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi avunja ukimya waziri kujiuzulu

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amevunja ukimya kujiuzulu kwa Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi asaini sheria 4 ikiwemo ya Kadhi

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesaini sheria mpya nne kwa mara ya kwanza ikiwemo Sheria ya Kadhi ya…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi: Mkitaka kujiuzulu waambieni mabosi zenu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amewataka viongozi wenye nia ya kujiuzulu kueleza…

Soma Zaidi »
Back to top button