Tanzania

Ulinzi kila kona Mwanza

MWANZA: JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza limeimarisha ulinzi maeneo yote ya nchi kavu na majini katika Ziwa Viktoria kwa…

Soma Zaidi »

Mama Maria atimiza miaka 93

MTANDAO: RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuungana pamoja kumuombea na kumtakia heri, mke wa Rais wa kwanza wa Tanzania,…

Soma Zaidi »

Dk Biteko awavulia kofia walimu Bukombe

BUKOMBE, Geita: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko  amewapongeza na kuwashukuru walimu wote wanaofundisha shule za…

Soma Zaidi »

Mgogoro wa mpaka uliodumu miaka 15 wamalizwa

ARUSHA: Mgogoro wa mpaka wa Hifadhi ya Ziwa Manyara uliodumu zaidi ya miaka 15 kijiji cha Buger wilayani Karatu umepata…

Soma Zaidi »

Wakamatwa kwa kuendesha kiwanda bubu cha pombe

POLISI mkoani Morogoro inawashilia watu wanne kwa tuhuma za kuendesha kiwanda Bubu cha kutengeneza na kusambaza bidhaa bandia ya pombe…

Soma Zaidi »

Ukaguzi magari ya shule, mabovu yazuiliwa

ARUSHA: Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Arusha kimesema kinaendelea na ukaguzi wa magari ya shule ikiwa…

Soma Zaidi »

Wanafunzi wote wafike shule Januari 6-8

WAZAZI, walezi wametakiwa kuhakikisha wanafunzi wote walioandikishwa wawe wameshafika shule ifikapo Januari 6 hadi 8, 2024. Akizungumza leo mkoani Mtwara,…

Soma Zaidi »

Serikali yapokea vichwa vitatu, mabehewa 27 treni ya umeme

SERIKALI imepokea vichwa vipya vitatu vya treni za umeme kutoka kampuni ya Hyundai Rotem na mabehewa mapya 27 ya abiria…

Soma Zaidi »

Wataalam Kishapu waichambua bajeti ya Sh bilioni 12

VIONGOZI wa vituo vya taarifa na maarifa kutoka kata tisa zilizojengewa uwezo na mtandao wa jinsia Tanzania TGNP kutoka Halmashauri…

Soma Zaidi »

Watatu mbaroni kwa kusafirisha dawa za kulevya

DAR ES SALAAM: WAKAZI watatu wa Kigamboni mkoani Dar es Salaam wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa…

Soma Zaidi »
Back to top button