Tanzania

Wawili wapoteza maisha wakidhaniwa kula chakula chenye sumu

MWANZA: KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbrod Mutafungwa amesema kuwa watu wawili wa familia mbili tofauti wamepoteza maisha wakidhaniwa…

Soma Zaidi »

“Hakuna miili zaidi iliyopatikana Hanang”

HANANG, Manyara: SERIKALI hakuna miili zaidi iliyopatikana na hivyo idadi ya miili inabakia kuwa 89 (Watu wazima 50: wanaume 21…

Soma Zaidi »

Ajali ya pikipiki yaua wawili Mtwara

MTWARA: WATU wawili wamekufa baada ya pikipiki waliyokuwa wakisafiria kuacha njia na kuanguka.   Akitoa taarifa hiyo leo kwa waandishi…

Soma Zaidi »

Polisi yakamata mifugo 8970 kati ya mifugo 15065 iliyoibiwa

ARUSHA: JESHI la Polisi kupitia kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo nchini limesema kwa kipindi cha mwezi Januari…

Soma Zaidi »

Watakiwa kuhifadhi historia ya jamii, taifa

WANA Historia nchini wameagizwa kutumia taaluma na utaalamu wao kwa ajili ya kutoa maelezo sahihi kuhusu mchakato wa ujenzi wa…

Soma Zaidi »

TANROADS Tabora yarejesha mawasiliano Bukumbi – Kahama

TABORA: WAKALA wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Tabora, imerejesha mawasiliano ya Barabara ya Bukumbi kuelekea Kahama ambayo ilikatika kutokana na…

Soma Zaidi »

Bwawa la Nyerere kuanza kunguruma Januari

DAR ES SALAAM: SERIKALI inatarajia kuwasha kinu cha kwanza cha kufua umeme mwezi Januari, 2024 katika bwawa la Nyerere (JNHPP)…

Soma Zaidi »

TSN mdhamini bora ununuzi na ugavi

DAR ES SALAAM: MKURUGENZI Mtendaji (MD) wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Tuma Abdallah (kulia) akipokea tuzo ya udhamini…

Soma Zaidi »

Wanafunzi 1,092,984 kujiunga kidato cha kwanza 2024

MWANZA: SERIKALI imesema wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika Shule za Serikali kutwa na bweni hakuna atakayekosa…

Soma Zaidi »

Mchengerwa atoa mwezi mmoja Hospitali Muleba ikamilike

KAGERA: WAZIRI Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amemtaka Mkurugenzi Mtendaji (DED) wa…

Soma Zaidi »
Back to top button