Tanzania

Takukuru kuchunguza vyama kutolipa wakulima

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Chrisitina Mndeme ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani humo kuchunguza vyama…

Soma Zaidi »

Nzi wakwamisha biashara ya embe

ZANZIBAR; WIZARA ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo imesema inaendelea na utafiti wa wadudu akiwamo nzi ambao wamekuwa wakishambulia mazao…

Soma Zaidi »

Wapewa mbinu waweze kukopesheka

WAKULIMA wa mazao Mchanganyiko wilayani Momba, mkoani Songwe wametakiwa kuunda vyama vya Ushirika (AMCOS), ili waweze kukopesheka na kuwa na…

Soma Zaidi »

Mbunge Ilemela atoa msaada majiko ya gesi

WANAWAKE wajasiriamali 400 kutoka Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wamepatiwa majiko ya gesi 400 kwa lengo la kujikwamua kiuchumi. Majiko…

Soma Zaidi »

Mara wapata mlezi wa vijana

OFISI ya Waziri Mkuu kupitia taasisi ya kusaidia vijana sekta ya kilimo cha umwagiliaji imemteua mwekezaji wa kiwanda cha kuchakata…

Soma Zaidi »

Wajadili ushiriki wa wanawake katika siasa

SHIRIKA la Omuka Hub kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Marekani National Democratic Institute – NDI wameandaa majadiliano ya…

Soma Zaidi »

Watalii wakoshwa na tamaduni za asili

IRINGA:Watalii wanaokwenda au kutoka katika Hifadhi ya Taifa Ruaha,mkoani Iringa wamedaiwa kufurahia utalii wa utamaduni unaofanywa na vikundi vya kijamii…

Soma Zaidi »

Mbunge Salim awakatia vijana vibali vya kuuza mkaa

TANGA:Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Hasham ameitoa zaidi ya sh Mil 1.6 Kwa ajili ya kulipa ada ya leseni…

Soma Zaidi »

Mfumo mpya manunuzi ya umma waanza kazi

MAMLAKA ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imeanzisha mfumo mpya wa manunuzi wa kielekroniki National e-Procurement System of Tanzania…

Soma Zaidi »

Serikali mbioni kutangaza ajira mpya 47,000

GEITA: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema serikali imepanga…

Soma Zaidi »
Back to top button