Tanzania

Wananchi wapongeza juhudi za Rais Samia kuwakwamua kiuchumi

MBEYA:Wakazi wa eneo la Madibira mkoani Mbeya wakiwemo wenye ulemavu, wamempongeza Rais Dk Samia Suluhu Hassan, kwa kazi nzuri ya…

Soma Zaidi »

Mambo safi mtihani darasa la saba

DAR ES SALAAM: Mtihani  wa darasa la saba mwaka huu umemalizika salama kwa kuwa hakuna tukio la udanganyifu lililoripotiwa. Ofisa…

Soma Zaidi »

Mwenyekiti halmashauri aamuriwa kumlipa Sh milioni 250 RC mstaafu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha jana imemuamuru Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, Isack Joseph maarufu kwa…

Soma Zaidi »

Wananchi Mtwara walivyompokea Rais Samia

BAADHI ya Wananchi mkoani Mtwara leo wamejitokeza kwa wingi uwanja wa ndege kumpokea Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Wakiwa uwanjani hapo…

Soma Zaidi »

Changamoto maeneo ya malisho kumalizwa

TANGA; Handeni. Waziri wa mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema serikali inatafuta suluhu ya kudumu katika kuondoa changamoto ya uvamizi…

Soma Zaidi »

“Mvomero Tutunzane 2023” yaanza kutekelezwa

SERIKALI ya Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro imeanza utekelezaji wa kampeni ya kihistoria ya “Mvomero Tutunzane 2023”. Kampeni hiyo ina…

Soma Zaidi »

Kijue Kiswahili

In Swahili orders are given by using the verb stem or in the case of monosyllabic verbs, the whole verb,…

Soma Zaidi »

Mtwara, Lindi matumaini kibao ziara ya Samia

WAKUU wa mikoa ya Mtwara na Lindi pamoja na wananchi wao, wamesema wana imani ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan…

Soma Zaidi »

TAWA kuimarisha ulinzi wa wananchi dhidi ya wanyamapori

MOROGORO:Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), imesema itaendelea kuimarisha  ulinzi wa wananchi na mali zao dhidi ya wanyamapori wakali…

Soma Zaidi »

Mwanza na mikakati ya uwanja wa ndege wa Kimataifa

MWANZA:Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla amesema Serikali ina Mkakakati wa kuufanya uwanja wa Ndege wa Mwanza kuwa wa…

Soma Zaidi »
Back to top button