Tanzania

Mkakati kilimo hai kutunza asili waja

DAR ES SALAAM:Taasisi ya Kilimo hai nchini (TOAM) imepanga kuzindua mkakati wa kilimo hai wenye kuhimiza umuhimu wa kutunza asili…

Soma Zaidi »

TANESCO yaomba mvua changamoto ya umeme

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Maharage Chande amewaomba watanzania kuombea nchi ipate mvua za haraka ili kuvinusuru…

Soma Zaidi »

Wapewa mbinu za kujiajiri

VIJANA wanaohitimu masomo yao kwenye vyuo mbalimbali wamepewa mbinu za kuachana na utegemezi wa ajira za serikali, badala yake wajiunge…

Soma Zaidi »

Vyuo vya ufundi viwekeze katika vifaa vya kufundishia

KAGERA,Bukoba,Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu,Utamaduni na michezo imetoa wito kwa wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi kuhakikisha…

Soma Zaidi »

Active Mama: Mikutano kimataifa itumike kujitangaza

MKURUGENZI wa Taasisi ya Active Mama, Ernestina Mwenda amewataka watanzania kutumia mikutano ya kimataifa inayofanyika hapa nchini katika kujitangaza katika…

Soma Zaidi »

Rais Samia awapa neno wanafunzi darasa la saba

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewatakia heri wanafunzi wote wa Darasa la Saba wanaoanza mitihani yao ya kuhitimu leo.…

Soma Zaidi »

Wakandarasi wazawa wafundwa

WAKANDARASI wazawa wametakiwa kuzisimamia kampuni zao kwa ufasaha kwa kufuata sheria za manunuzi ya umma. Pia, wametakiwa kulipa kodi kwa…

Soma Zaidi »

Takukuru: Mtaa kwa mtaa yawafikia maelfu

KAMPENI  ya mtaa kwa mtaa ya uelimishaji jamii kutambua madhara ya vitendo vya rushwa imewafikia watu  12,671  mkoani Kigoma ambapo…

Soma Zaidi »

Mahakama yaamuru Bocco kulipwa Sh milioni 200

DAR ES SALAAM: Mahakama Kuu ya Tanzania imeamuru kuwa mshambuliaji wa klabu ya soka ya Simba na Taifa Stars, John…

Soma Zaidi »

UTAFITI: Mbegu safi za muhogo huongeza asilimia 81 mavuno

  TAFITI nchini Tanzania zimeonyesha kwamba zao la muhogo lililopandwa kwa kutumia mbegu bora zilizo safi huzaa mavuno mengi kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button