Utalii

Tanzania mwenyeji tuzo za World Travel

TANZANIA imechaguliwa kuwa mwenyeji wa tuzo za kimataifa za utalii ‘World Travel’ na hafla ya kutangaza washindi wa Kanda ya…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu azindua lango la utalii Hifadhi ya Mkomazi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi 25 amezindua lango la kuingia na kutoka watalii la Ndea kwenye Hifadhi ya Taifa…

Soma Zaidi »

Tanzania yapokea faru weupe kutoka Afrika Kusini

ARUSHA: SERIKALI ya Tanzania kwa mara ya kwanza imepokea faru weupe 18 kutoka Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli…

Soma Zaidi »

Kila la heri EAC maonesho ya utalii Berlin

MAONESHO ya Kimataifa ya Utalii (ITB) yanaanza leo katika Jiji la Berlin, Ujerumani na yatafanyika kwa siku tatu hadi Machi…

Soma Zaidi »

Tanzania yavunja rekodi ongezeko wanyamapori

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk Pindi Chana amesema ongezeko la idadi ya Wanyamapori katika hifadhi za wanyama hapa…

Soma Zaidi »

Utalii waagizwa kupitia kanuni kifuta jasho

TANGA: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali inaendelea kubuni mbinu za kukabiliana na wanyamapori wakali na waharibifu huku akiiielekeza Wizara…

Soma Zaidi »

Watafiti Cuba wafanya ziara Serengeti

ZIARA ya kikazi ya watafiti wa mimea vamizi kutoka Jamhuri ya Cuba walioungana na wataalamu wa ikolojia kutoka Wizara ya…

Soma Zaidi »

Tanzania mwenyeji jukwaa la kimataifa utalii wa vyakula

TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Jukwaa la Pili wa Utalii wa Vyakula wa Shirika la Utalii Duniani Kanda ya Afrika…

Soma Zaidi »

Steve Nyerere ampongeza Rais Samia

MWIGIZAJI wa vichekesho Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ amempa tano Rais Samia Suluhu Hassan na kutoa pongezi kwa Wizara ya Utalii…

Soma Zaidi »

Rubani aing’arisha Tanzania ndani ya MUFASA

DAR ES SALAAM: AHMAD Ally, anayejulikana pia kama @kakamussa, ni mpiga picha mashuhuri na rubani wa drone ambaye ameiletea heshima…

Soma Zaidi »
Back to top button