Zanzibar

Wafanyakazi Z’bar waongezewa nauli Sh 50,000

PEMBA; RAIS  wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa wafanyakazi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), wataongezewa posho ya…

Soma Zaidi »

Simba bingwa Kombe la Muungano

ZANZIBAR; BAO la kiungo Msenegal Babacar Sarr dakika ya 77, limeiwezesha Simba kuibuka bingwa mpya wa michuano ya Kombe la…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi aongoza dua maalum ya Mzee Karume

KISIWANDUI, Zanzibar: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amewaongoza wananchi na viongozi mbalimbali wa chama na serikali katika dua…

Soma Zaidi »

Samia afanya mabadiliko makatibu wizarani

ZANZIBAR: RAIS SAMIA amemteua Mhandisi Cyprian Luhemeja kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira). Kabla ya…

Soma Zaidi »

Diamond ampa pole Dk Mwinyi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole kutoka kwa Mkurugenzi…

Soma Zaidi »

Rais Dk Mwinyi azindua duru ya kwanza utoaji vitalu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amezindua Duru ya Kwanza ya Utoaji wa…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi ateua Mwenyekiti Bodi PBZ

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amemteua, Joseph Abdalla Meza kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi amshukuru Samia msiba wa Mwinyi

ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa bega kwa bega tangu Rais…

Soma Zaidi »

Mwinyi alipambana na rushwa, dawa za kulevya

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi…

Soma Zaidi »

Mzee Mwinyi afariki Dunia akiwa na miaka 98

Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza siku saba za maombolezo Mzee Mwinyi alikuwa akisumbuliwa na saratani ya mapafu

Soma Zaidi »
Back to top button