Zanzibar

Biteko awataka wananchi kuyaenzi Mapinduzi

ZANZIBAR: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ametoa wito kwa wananchi kuendelea kuyaenzi, kuyalinda na kuyaishi…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi: Kiwanda cha mwani mageuzi makubwa kiuchumi

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema ujenzi wa kiwanda cha kusarifu na kuongeza thamani ya mwani ni sehemu…

Soma Zaidi »

Tani 9.5 za Karafuu za magendo zadakwa

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amefanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Wete na kushuhudia tani 9.5…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi ajivunia kuvuka lengo utekelezaji miradi

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amejivunia miaka mitatu ya Serikali ya…

Soma Zaidi »

Ajira 1,500 za walimu posho nono

PEMBA, Zanzibar: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imejenga skuli za kisasa za ghorofa mijini na vijijini…

Soma Zaidi »

Uzalishaji samaki waongezeka Zanzibar

ZANZIBAR: WIZARA ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi inaendelea kuwezesha wajasiriamali na wananchi kwa kuwapatia elimu, uelewa na ufahamu katika…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi: Lengo ni kuwa na mji wa kisasa

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imeanza ujenzi wa maduka ya…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi: Tumejipanga kuimarisha maadili, haki za binadamu

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema serikali imejipanga vema kuimarisha maadili, haki…

Soma Zaidi »

Nyumba za utamaduni wa Zanzibar kujengwa Kijiji cha Makumbusho

DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Kamati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar inayosimamia Utalii, Biashara na Kilimo, Mtumwa Pea Yusuph amesema…

Soma Zaidi »

Mjumbe UNDP afika Ikulu Z’bar kujitambulisha

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa…

Soma Zaidi »
Back to top button