Year: 2022

Tanzania

Mageuzi yaja sekta ya uvuvi kukuza uchumi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema utekelezaji wa Mpango Kabambe wa Sekta ya Uvuvi utasaidia kukuza sekta hiyo na kuongeza mchango…

Soma Zaidi »
Uchumi

Ujenzi miundombinu kuvutia wawekezaji

MKAKATI wa serikali ni kuhakikisha inajenga miundombinu wezeshi ili kuvutia wawekezaji katika maeneo mbalimbali nchini, bunge limeelezwa. Naibu Waziri wa…

Soma Zaidi »
Dodoma

Serikali yafafanua malipo kwa mstaafu aliyefariki

SERIKALI imesema malipo ya mafao kwa mstaafu aliyefariki dunia huzingatia kanuni zilizopo na ikitokea amefariki mfuko hulipa mafao ya mkupuo,…

Soma Zaidi »
Uchumi

Wabunge, wasomi waipa ‘tano’ serikali kufuta tozo

SERIKALI imepongezwa kwa kusikiliza kilio cha wananchi na kupunguza baadhi ya tozo za miamala ya kielektroniki kuanzia Oktoba Mosi, mwaka…

Soma Zaidi »
Uchumi

Mkurabita yaanza kurasimisha biashara ya bodaboda

MRATIBU wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Dk Seraphia Mgembe amesema mwaka huu wamerasimisha biashara…

Soma Zaidi »
Kanda

IJP Wambura ahamisha ma-RPC watatu

MKUU wa Jeshi la Polisi (IJP), Camillus Wambura amewahamisha makamanda wa polisi mikoa miwili na mmoja kamhamishia makao makuu ya…

Soma Zaidi »
Kanda

Achagiza uvishaji mifugo hereni za kielektroniki

OFISA Mifugo wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Msafiri Mkunda, ametaka wafugaji kuchangamkia uvishaji wa hereni za kielektroniki mifugo yao…

Soma Zaidi »
Biashara

TRA: Mfumo wa stempu umeimarisha ukusanyaji kodi

MFUMO wa Stempu wa Kielektroniki (ETS) ulioanzishwa miaka mitatu iliyopita umeimarisha ulipaji wa kodi na hivyo kuimarisha ushindani wa haki…

Soma Zaidi »
Biashara

BancABC Tanzania yaanzisha akaunti za amana

BENKI ya BancABC Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya Atlas Mara imezindua kampeni maalumu inayolenga kuwanufaisha wateja wanaofungua akaunti za…

Soma Zaidi »
Kanda

Bil 44/- kuboresha afya, elimu Ilemela

MANISPAA ya Ilemela mkoani Mwanza imetumia Sh bilioni 44 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya afya na elimu. Kutekelezwa…

Soma Zaidi »
Back to top button