Year: 2022

Michezo na Burudani

Mavunde awaahidi raha wanamichezo Dodoma

MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde ameahidi kuendelea kuboresha viwanja vya michezo mbalimbali jijini Dodoma ili kuvifanya kuwa…

Soma Zaidi »
Siasa

CCM wataja mambo yaliyochangia ushindi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetaja mambo mbalimbali yaliyochangia kushinda katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Amani Zanzibar pamoja na kata…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mayele aomba kura Watanzania uchezaji bora DRC

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele amewaomba wadau wa soka nchini kumpigia kura, ili aweze kushinda tuzo ya mchezaji bora wa…

Soma Zaidi »
Biashara

Ujenzi reli ya Tabora-Kigoma waiva

KIPANDE cha ujenzi wa reli ya kati Tabora- Kigoma kitagharimu dola za Marekani bilioni 2.7 sawa na shilingi trilioni 6.34.…

Soma Zaidi »
Afya

Ushirikina, tiba mbadala zinavyogharimu maisha ya watu

OKTOBA 13, 2022, HabariLEO ilipita katika Taasisi ya Ocean Road (ORCI) na kushuhudia wagonjwa wakiendelea na matibabu. Baadhi walikuwa waliowahi…

Soma Zaidi »
Africa

Ntakarutimana achaguliwa Spika EALA

WABUNGE wa Bunge la  Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), wamemchagua Joseph Ntakarutimana kuwa Spika wa bunge hilo katika uchaguzi uliofanyika…

Soma Zaidi »
Afya

Mlango mkuu waenda kwa miguu Muhimbili wafungwa

HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili(MNH), imetangaza kufunga lango  kuu la kuingilia  kwa waenda kwa miguu kwa muda wa miezi mitatu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mambo yameiva sekondari Kata ya Liwiti

MBUNGE wa Jimbo la Segerea, Bonnah Kamoli, amesema mradi wa Shule ya Sekondari ambayo ni ya kwanza katika Kata ya…

Soma Zaidi »
Africa

Kipindupindu chaua 31 Nigeria

WATU 31 wamefariki baada ya kuibuka wimbi jipya la kipindupindu nchini Nigeria Jumapili na Jumatatu katika vijiji 10 vya jimbo…

Soma Zaidi »
Africa

Watoto wauawa kwa risasi Kenya

WATOTO wawili wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wengine wawili kujeruhiwa katika harakati ya kulipiza kisasi mjini Isiolo. Watoto hao…

Soma Zaidi »
Back to top button