Year: 2022

Michezo na Burudani

Bashungwa atamani makubwa zaidi michezoni

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Innocent Bashungwa amesema wizara  yake itaendelea kushirikiana Wizara ya  Utamaduni, Sanaa…

Soma Zaidi »
Picha

Mvua zaleta neema Mto Ruaha!

Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo ya mkoa wa Iringa zimeanza kuneemesha maji ya kutosha kwenye  Mto Ruaha Mkuu, ambayo yanatumika katika…

Soma Zaidi »
Madini

Vifo vitokanavyo na ajali migodini vyapungua

IDADI ya vifo vitokanavyo na ajali katika maeneo ya migodi vimepungua kwa kiasi kikubwa kutoka 106  ilivy ripotiwa mwaka 2018…

Soma Zaidi »
Kanda

NIDA yakabidhi vitambulisho 16,400 Kitaya, Nanyamba

MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa nchini (NIDA), imetoa vitambulisho 16,400 kwa wakazi wa Kata ya Kitaya, Kiromba, Namtumbuka pamoja na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mabadiliko ya tabianchi yalivyoacha maumivu Jangwani

MABADILIKO ya tabianchi yanayosababisha misimu ya mvua kwa mwaka kubadilika, yamekuwa yakirudisha nyuma maendeleo maisha ya mtu mmoja mmoja na…

Soma Zaidi »
Chakula & Vinywaji

Buriani na msisitizo lishe bora kwa watoto

MATOKEO ya Utafi ti wa Taifa wa Lishe uliofanyika Novemba 2018 yanaonesha uwepo wa udumavu kwa watoto walio chini ya…

Soma Zaidi »
Maoni

Tumaini kubwa wasichana kuwa vinara tuzo za wanasayansi chipukizi

GLORIA Tibaijuka na Halima Muhunzi wenye umri wa miaka 16, ni wanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Nchi nane zatajwa mabinti wanakotumikishwa kingono

SERIKALI imetaja nchi wanazodaiwa kupelekwa wasichana wa kitanzania kwenda kutumikishwa kingono. Ofisa Mwandamizi  kutoka Sekretarieti ya Kitaifa ya Kuzuia na…

Soma Zaidi »
Biashara

Maziwa yakoleza sumu kwenye viuatilifu-Utafiti

WAKULIMA wametakiwa kutotumia maziwa kama huduma ya kwanza wanapoathiriwa na viuatilifu wakati wa kuvitumia katika mazao shambani au nyumbani. Angalizo…

Soma Zaidi »
Kanda

Waliogoma kuhama Ngorongoro wajuta

UKAME na njaa inayoendelea kuutikisa Mkoa wa Arusha na baadhi ya maeneo nchini umewafanya wananchi waliokataa kuhama kwa hiyari kutoka…

Soma Zaidi »
Back to top button