Year: 2022

Michezo na Burudani

Mtanzania aweka rekodi Valencia Marathon

Mwanariadha Mtanzania, Gabriel Geay ameweka rekodi kwa kushika nafasi ya pili katika mashindano ya ‘Valencia marathon’ akitumia saa 2:03:00 kukimbia…

Soma Zaidi »
Jamii

Walioua bila kukusudia kwenye ‘kigodoro’ jela miaka 3

MKAZI wa Tegeta, Nassoro Hamadi (27), amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Dk Samia aagiza fedha za sherehe za uhuru zitumike kujenga miundombinu ya shule

Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan ameelekeza Shilingi milioni 960 zilizotengwa na Wizara na Taasisi kwa ajili ya Maadhimisho…

Soma Zaidi »
Biashara

TRA yaweka mkakati ukusanyaji kodi Kariakoo

MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA), imeweka mkakati wa kuchochea wafanyabiashara kulipa kodi, ili kuongeza mapato ya serikali kwa kuweka mabango…

Soma Zaidi »
Afya

Madaktari bingwa waja kivingine Mwanza

TIMU ya madaktari bingwa imepiga kambi ya siku tano, kuanzia leo hadi Desemba 9, 2022 katika Hospitali ya Rufaa ya…

Soma Zaidi »
Biashara

Ukarabati Uwanja Ndege Mtwara safi

UKARABATI na upanuzi wa miundombinu ya kiwanja cha ndege mkoani Mtwara umefikia asilimia 96. Maneja wa kiwanja hicho, Samuel Mruma…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ukarabati uwanja wa ndege Mtwara wafikia asilimia 96

Meneje wa kiwanja cha ndege mkoani Mtwara, Samuel Mruma amesema kuwa ukarabati kwa sasa upo hatua za mwisho za kumalizia…

Soma Zaidi »
Jamii

Watoto 1,114 walawitiwa ndani ya mwaka mmoja

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk. Dorothy Gwajima, amesema jumla ya matukio 1,114 ya watoto…

Soma Zaidi »
Chakula & Vinywaji

Ufugaji wa Konokono biashara iliyojificha

Konokono ni mboga ambayo nyama yake ina ladha na ni nzuri kwa afya ikiwa na chazo kikubwa cha protini, fosforasi,…

Soma Zaidi »
Siasa

Kamati Kuu CCM yakutana Dodoma

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa wa Tanzania,   Dk Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Kamati Kuu…

Soma Zaidi »
Back to top button