Year: 2022

Afya

Vijana watakiwa kubadili tabia maambukizi VVU

VIJANA nchini wametakiwa kubadili tabia katika pambano dhihi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi, ili kupunguza maambukizi baina yao.…

Soma Zaidi »
Jamii

Wilaya ya Tanganyika kupanda zaidi ya miti mil. 3

HALMASHAURI ya Wilaya ya Tanganyika, mkoani Katavi, imepanga kupanda miche ya miti ya matunda na mbao milioni 3.5, ikiwa ni…

Soma Zaidi »
Biashara

NBC yaja na ‘funga mwaka kibabe’

Katika juhudi za kukuza miamala ya papo kwa papo, salama na malipo ya bila kutumia pesa taslimu nchini, Benki ya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Giroud mfungaji bora Ufaransa

Mshambuliaji wa Ufaransa, Olivier Giroud anakuwa mfungaji bora wa muda wote wa timu hiyo, mara baada ya kufunga bao la…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Wakorea wajipange, Neymar huyoo

Kocha wa Brazil, Adenor Leonardo Bacch ‘Tite’ amethibitisha kuwa nyota Neymar Jr amepona majeraha na atakuwepo kwenye mchezo wao raundi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Udhibiti wachukuliwa kumwagika kwa ‘Sulphur dioxide’ Morogoro

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Messi amfunika Ronaldo baada ya mechi 1000

Washambuliaji Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wameendelea kunyukana kwa rekodi licha ya umri wao kuelekea Ukingoni. Takwimu zinaonyesha katika mchezo…

Soma Zaidi »
Uchumi

Wadau ufugaji kuku waonyesha imani kulinda soko

WADAU wa ufugaji wa kuku nchini wameonesha imani kwa serikali ya awamuya sita inayoongozwa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Aliou Cisse anaumwa

BADO haijajulikana wazi kama kocha mkuu wa Senegal, Aliou Cisse atakiongoza kikosi hicho kwenye mechi ya hatua ya 16 bora…

Soma Zaidi »
Afya

Wanaume watakiwa kujitokeza kupinga utatili.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ,Dk Dorothy Gwajima  amewahimiza  wanaume kujitokeza na kushiriki  kupinga ukatili…

Soma Zaidi »
Back to top button