Year: 2022

Tanzania

Ajira mpya kupata mafunzo ya utumishi wa umma

WAZIRI wa nchi Ofisi ya Raisi Menejimenti ya  Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amewataka waajiri nchini kutumia…

Soma Zaidi »
Tanzania

Toeni tafiti kusaidia jamii – Isaka

VIJANA  wanaofanya tafiti katika nyanja mbalimbali katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)wameagizwa kutoa matokeo ya tafiti zao  ili…

Soma Zaidi »
Dodoma

Mambo mazuri chuo cha ufundi Dom

UJENZI  wa Chuo cha Ufundi Dodoma utaongeza nguvu kazi yenye ujuzi na maarifa inayohitajika kwenye uzalishaji katika maeneo mbalimbali nchini.…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mzumbe kutekeleza mradi wa mageuzi kiuchumi

CHUO Kikuu Mzumbe (MU), kilichopo mkoani Morogoro,kimetengewa dola milioni 21 za Kimarekani kwa ajili kuboresha mazingira ya kufundishia na kuanzisha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mapitio Mitaala ya Elimu Msingi yakamilika

MAPITIO  ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na Mitaala ya Elimu Msingi yamekamilika na yanasubiri mchakato wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Makala: Mgao wa maji Dar, Pwani Bye bye

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makala ametangaza kusitishwa rasmi kwa mgao wa maji katika Mkoa wa Dar…

Soma Zaidi »
Kanda

Serikali yafunguka ripoti ya uchunguzi ajali ya Precision air

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema mlango wa ndege ya shirika la ndege la Precision Air iliyopata…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Afrika imekuaje? Ronaldo aweka rekodi!

AFRIKA limekuwa Bara lenye bahati mbaya mwaka huu wa Kombe la Dunia, baada ya timu zote tano kushindwa kupata ushindi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watakiwa kuzingatia mafunzo

SERIKALI imewaagiza  wawezeshaji wa kitaifa wanaoshiriki mafunzo  ya kujenga ujuzi  wa kuibua  hadithi za mafanikio za kujifunza za mfano katika…

Soma Zaidi »
Uchumi

Majaliwa: Mradi wa SGR ukamilike kwa wakati

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) na kwamba Serikali…

Soma Zaidi »
Back to top button