Year: 2022

Kanda

Mbunge Mwambe atoa ushauri minada ya korosho

MBUNGE wa Jimbo la Ndanda, mkoani Mtwara Cecil Mwambe ameshauri serikali kuondoa baadhi ya tozo kwenye zao la korosho, ili…

Soma Zaidi »
Dodoma

Walioondolewa kwa vyeti feki kulipwa michango yao

RAIS Samia Suluhu Hassan ameridhia  watumishi wa umma waliondolewa kazini kwa sababu ya vyeti feki, walipwe michango yao waliyochangia kwenye…

Soma Zaidi »
Jamii

‘Endeleeni kufichua ukatili kwa watoto’

WAKATI taasisi ya Save the Children, ikizindua dawati la ulinzi wa mtoto Shule ya Msingi Levolosi jijini Arusha na mabaraza…

Soma Zaidi »
Fedha

Madereva sasa kuweka mafuta popote, kulipa baadaye

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe, amezindua ‘App’ mpya ya kuwawezesha madereva kupata huduma za mafuta kwa urahisi nchini…

Soma Zaidi »
Biashara

Wawekezaji waitwa kurudisha Tanga ya viwanda

HALMASHAURI ya Jiji la Tanga imetenga eneo la ardhi lenye ukubwa wa hekta 5635, kwa àjili ya uwekezaji sekta mbalimbali…

Soma Zaidi »
Kanda

RC Sendiga apongeza ujenzi wa madarasa Mpanda

KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Katavi, ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Queen Sendiga amepongeza usimamizi wa ujenzi wa…

Soma Zaidi »
Jamii

Sumu ya panya yadaiwa kuua mwanafunzi Geita

MWANAFUNZI wa kidato cha tatu, shule ya sekondari Nyabubela, mtaa wa Nyakahongolo mjini Geita, Janeth Charles (18), amefariki dunia kwa…

Soma Zaidi »
Fedha

Serikali yaokoa bil 61/- kuunganisha mifuko ya jamii

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umesema serikali imeokoa zaidi ya Sh bilioni 61 za uendeshaji…

Soma Zaidi »
Jamii

Lishe duni, wapenzi wengi huathiri nguvu za kiume

IMEELEZWA kuwa changamoto kubwa ya upungufu wa ngumu za kiume ni lishe duni wanayotumia wanaume na kuwa na wapenzi wengi.…

Soma Zaidi »
Jamii

Mtoto auawa akichunga ng’ombe

MTOTO wa miaka 10  Mtemi Ndamo wa Kijiji cha Kakese, Kata ya Kakese, Wilaya ya Mpanda, mkoani Katavi ameuawa, wakati…

Soma Zaidi »
Back to top button