Year: 2023

Jamii

Wananchi watahadharishwa athari za mvua Mtwara

WANANCHI mkoani Mtwara wametakiwa kuchukua tahadhari juu ya uwepo wa mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali. Akizungumza leo mkoani Mtwara, Mkuu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wachangia Sh Mil 79 ujenzi wa bweni

KAGERA: Wadau wa maendeleo mkoani Kagera kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera wamechangia kiasi cha Sh milioni 79.5…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Baraza UN kupigia kura azimio la kibinadamu Gaza

WANACHAMA 15 wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wanatarajiwa kupigia kura Azimio la Ijumaa kushughulikia mzozo wa kibinadamu…

Soma Zaidi »
Africa

Walinda amani kuondoka DR Congo

WANAJESHI wa mwisho wa kikosi cha Kanda ya Afrika Mashariki wanaondoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, zaidi ya mwaka mmoja…

Soma Zaidi »
Africa

Urusi kuisaidia nafaka Tunisia

URUSI imesema iko tayari kusambaza nafaka nchini Tunisia, Waziri wa Mambo ya Nje wa Moscow, Sergei Lavrov alisema katika ziara…

Soma Zaidi »
Africa

Kiongozi wa Al-Shabab auawa

KIONGOZI mkuu wa wanamgambo wa Al-Shabaab, Maalim Ayman ameuawa na vikosi vya Somalia na Marekani. Taarifa hizo zinakuja ikielezwa kuwa…

Soma Zaidi »
Afya

Ummy: Tunajikita katika huduma bora kwa watoto wachanga

TANGA: TAASISI ya Doris Mollel Foundation kwa kushirikiana na Msanii maarifu Barnaba  imetoa Vifaa Tiba kwa ajili ya kuanzisha Wodi…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Hakuna kibali kwa wapiga ramli

KIGOMA; Mkuu wa Mkoa Kigoma, Thobias Andengenye amesema hakuna kibali kilichotolewa na Ofisi ya Rais kuruhusu vitendo vya kupiga ramli…

Soma Zaidi »
Tanzania

Traffic: Madereva msiwe chanzo cha huzuni

ARUSHA: Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani nchini limesema zipo sheria zinazotoa miongozo na taratibu za matumizi sahihi ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bashungwa ataka umoja viongozi Kagera

KAGERA: Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa wakazi wa Mkoa wa kagera…

Soma Zaidi »
Back to top button