Year: 2023

Michezo na Burudani

Mambo yaiva TASWA Media Day Bonanza

DAR ES SALAAM; CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA),kimetangaza kuwa bonanza la waandishi litakalofanyika Desemba 16, 2023…

Soma Zaidi »
Biashara

Samia: Tanzania, Zambia zisishindane, ziwezeshane

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Zambia zisishindane ila ziwezeshane kibiashara ili kujikomboa kiuchumi. Pia Rais Samia ameunga mkono…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Samia: Nimekuja Zambia tuimarishe uchumi

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema amekwenda kufanya ziara nchini Zambia ili nchi hizo ziimarishe uchumi. Alisema hayo wakati akihutubia Bunge…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Tanzania, Zambia zakubaliana kukuza ushirikiano, uhusiano

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Zambia zimekubaliana kuendelea kudumisha ushirikiano na uhusiano kukuza maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kwa…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

Jifunze Kiswahili

SWAHILI AUXILIARY VERBS In Swahili two verbs are used as auxiliary verbs,namely,kuwa”,”to be”and kuisha,”to be completed “, This last verb…

Soma Zaidi »
Podcast

HABARI KUU

Soma Zaidi »
Madini

Yaliyojiri siku ya kwanza Mkutano wa Kimataifa Sekta ya Madini

DAR ES SALAAM: SERIKALI imewahakikishia wawekezaji wakubwa , wa kati na wadogo katika shughuli za madini nchini kuwa itaendelea kuweka…

Soma Zaidi »
Biashara

Dk Mwinyi awapa raha wafanyabiashara wadogo

ZANZIBAR; Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema ametekeleza ahadi yake aliyoitoa wakati wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Maofisa Kilimo wapeni wakulima Elimu- DC Mbogwe

GEITA: MKUU wa Wilaya ya Mbogwe Sakina Jumanne amewataka maofisa Kilimo ndani ya Wilaya hiyo kuwapa elimu ya kilimo bora…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Wizara yafafanua maji Uwanja Mkapa

DAR ES SALAAM; Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa ufafanuzi juu ya video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha…

Soma Zaidi »
Back to top button