Year: 2023

Tanzania

Watakiwa kurahisisha huduma kwa walemavu

WADAU mbalimbali wanaotumia huduma zitokanazo na teknolojia wameomba taasisi za fedha nchini, kurahisisha huduma hizo kwa watu wenye ulemavu wakiwemo…

Soma Zaidi »
Afya

Hospitali Arusha kuweka mfumo utunzaji kumbukumbu

HALMASHAURI zote za Mkoa wa Arusha zimetakiwa kufungua mfumo maalum wa ukusanyaji mapato (GoT HoMIS) ambao utasaidia utunzaji wa kumbukumbu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mifumo ya tiketi ifanye kazi – Mchengerwa

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ameuelekeza…

Soma Zaidi »
Madini

Serikali kuwekeza katika teknolojia sekta madini

DAR ES SALAAM: SERIKALI kuwekeza katika teknolojia ya hali ya juu ya tafiti ili kusaidia kupata taarifa za kijiolojia zitakazowezesha…

Soma Zaidi »
Madini

Wizara ya Madini waja kisasa zaidi

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesema wizara hiyo imejipanga kutumia njia za kisasa za kupata taarifa za…

Soma Zaidi »
Tanzania

Harakisheni mchakato wa sheria – Mchengerwa

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ameuelekeza…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mchengerwa: ‘Sitakuwa na uvumilivu’

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ameuelekeza…

Soma Zaidi »
Biashara

Taasisi kukwamua wakulima kiuchumi zao la maharage, alizeti

TAASISI ya Kuboresha Mifumo ya Masoko ya Kilimo Nchini (AMDT) imejidhatiti katika kuiunga mkono serikali kuwakwamua wakulima kiuchumi wa maharage…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Rais Samia aipatia Zambia hekta 20

ZAMBIA; Lusaka. RAIS Samia Suluhu Hassan ameipatia zawadi nchi ya Zambia ya hekta 20 katika eneo la Kwala mkoani Pwani,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Shirika laiomba serikali kuchukua hatua migogoro ya ardhi

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Mimutie Women Organization limeiomba serikali kuchukua hatua kali kwa mashirika yasiyo ya kiserikali yanayochochea migogoro…

Soma Zaidi »
Back to top button