Year: 2023

Afya

Vishoka tiba asili waonywa matangazo mitandaoni

DAR ES SALAAM:Vishoka wa tiba asili wanaotumia mitandao ya kijamii kutangaza wameonywa kuacha tabia hiyo mara moja na kufata taratibu…

Soma Zaidi »
Jamii

Watoto wawili wa familia moja wafariki kwa kuungua na Moto

KATAVI: Watoto wawili wa kike Florida Frowin (miaka 3) na Felician Frowin (Mwaka mmoja na nusu) wameteketea kwa kuungua na…

Soma Zaidi »
Afya

Kila siku watu 200 huambukizwa VVU Nchini

DAR ES SALAAM: Kwa mujibu wa takwimu ya Ripoti ya viashiria vya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) na UKIMWI…

Soma Zaidi »
Afya

Wananchi wahimizwa kupima afya zao

DAR ES SALAAM: Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), hospitali ya Dar Group, Dar es Salaam itaendesha zoezi la kupima…

Soma Zaidi »
Tanzania

Jakaya: Washusheni kufundisha shule za msingi

RAIS Mstaafu Jakaya Kikwete amesema ili elimu ya Tanzania ipige hatua, ni wakati sasa wa Wizara ya Elimu nchini kuchukua…

Soma Zaidi »
Jamii

Wastaafu huvuna Sh Bil 67 kwa Mwezi PSSSF

DAR ES SALAAM: Mfuko wa hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma ‘PSSSF’ umeeleza kuwa unaendelea na uwekezaji ili kutoa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kikwete: Sitaki longolongo, msiniabishe timizeni ahadi

DAR ES SALAAM: RAIS Mstaafu Jakaya Kikwete amewataka Wakuu wa Mikoa kutimiza ahadi za fedha walizotoa, kwa ajili kuiwezesha serikali…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Huduma za posta zifike vijijini kwa gharama nafuu”

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia, Nape Nnauye ameutaka Umoja wa Posta Afrika (PAPU) kutumia mtandao wao mpana na kupanua…

Soma Zaidi »
Tanzania

Sh bilioni 60 kuboresha miundombinu ya bandari Kanda ya Ziwa

SERIKALI imetenga Sh bilioni 60 kuboresha miundombinu ya bandari 15 zilizopo kwenye mikoa mitano ya Kanda ya Ziwa zinazosafirisha mizigo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Polisi yachangiwa gari, pikipiki

DHANA ya ushirikishwaji jamii imeendelea kulifaa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa hii leo likipokea msaada wa gari moja aina…

Soma Zaidi »
Back to top button