Year: 2023

Bunge

Mikakati yawekwa upatikanaji  dawa

SERIKALI imesema  inaendelea kuboresha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika hospitali nchini kwa kutekeleza mambo mbalimbali ikiwemo kuipatia mtaji…

Soma Zaidi »
Bunge

Mikakati yawekwa mafuta ya kula

SERIKALI imesema kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeendelea kutekeleza mkakati wa kuendeleza sekta ndogo ya alizeti na chikichi ambayo ndiyo…

Soma Zaidi »
Bunge

Kiwango cha chini pensheni Sh 100,000

WASTAAFU wote wa Serikali wameboreshewa pensheni zao za kila mwezi, ambapo kiwango cha chini kwa sasa ni Sh 100,000, Bunge…

Soma Zaidi »
Bunge

Zungu: Fanyieni kazi zao la mkonge

NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Azzan ‘Zungu’ ameitaka serikali kuhakikisha inafanyia kazi suala la kilimo cha zao la mkonge nchini.…

Soma Zaidi »
Bunge

‘Ubora dawa za viuadudu mbovu, mbaya sana’

DODOMA; NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Azzan ‘Zungu’, amesema dawa nyingi za cha viuadudu kutoka nje ya Tanzania zina ubora…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kishindo cha siku ya mwisho dirisha la usajili Ulaya

WAKATI Saa kadhaa zikisalia kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili barani Ulaya kuna baadhi ya sajili zinatarajiwa kutikisa katika…

Soma Zaidi »
Siasa

Kinana: Tamasha la Kizimkazi laimarisha muungano

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Abdulrahman Kinana, amesema Tamasha la Kizimkazi limefanikiwa kuwa chachu ya kuimarisha Muungano. Kinana…

Soma Zaidi »
Uwekezajia

Tanzania yanufaika na GPE

TAASISI ya Ushirikiano wa Elimu Dunia ((GPE) imeipatia  Tanzania Dola za Marekani milioni 207.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

SHIUMA yamng’oa naibu katibu mkuu wake

SHIRIKISHO la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA) limetangaza kumvua madaraka naibu katibu mkuu wake, Joseph Mwanakijiji na kumzuia kufanya shughuli…

Soma Zaidi »
Tanzania

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha ahukumiwa miaka 20 Jela

ARUSHA: Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imemuhukumu kifungo cha miaka ishirini jela aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dk John…

Soma Zaidi »
Back to top button