Year: 2023

Diplomasia

Wananchi wa Tanzania, Kenya ni ndugu

KENYA; Nairobi; TANZANIA imeahidi kuendelea kushirikiana na Kenya katika kukuza na kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizo. Kauli hiyo imetolewa…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Dk Mwinyi amuwakilisha Samia Jamhuri Day

KENYA; Nairobi. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, ameshiriki maadhimisho ya miaka 60…

Soma Zaidi »
Jamii

Wivu wa mapenzi waua mke, mume

MOROGORO; Devotha Gilbert (20) ,mfanyabiashara na mkazi wa Kata Mwembesongo mkoani Morogoro, anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha…

Soma Zaidi »
Jamii

Wajengewa uwezo mifumo sekta ya umma

MTWARA; USAID PS3+ kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imeandaa mafunzo ya…

Soma Zaidi »
Fedha

Silaa: Halmashauri rejesheni mikopo ya KKK kwa wakati

MUSOMA: Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Jerry Silaa amezitaka halmashauri zote zilizokopeshwa fedha za Kupanga, Kupima…

Soma Zaidi »
Siasa

Kinana: CCM ina taratibu zake

KAGERA: MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema CCM inataratibu zake za kupata viongozi na mchakato wa…

Soma Zaidi »
Maisha ya Vijijini

EU yaweka nguvu miradi REA

DAR ES SALAAM: SERIKALI imepokea magari 21 kati ya 29 yenye thamani ya Sh bilioni 1.9 kutoka ufadhili wa Umoja…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Osimhen atwaa tuzo mchezaji bora Afrika

STRAIKA wa Napoli na timu ya taifa ya Nigeria, Victor Osimhen ameshinda tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa wachezaji wanaocheza…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Regragui, Bounou watwaa tuzo CAF

KOCHA wa timu ya taifa Walid Regragui ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwaka akiwashinda Abdelhak Benchika wa (USM Alger/Simba…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Al-Ahly klabu bora tuzo za CAF

KLABU ya Al-Ahly imeshinda tuzo ya klabu bora ya mwaka kwa ikizishinda Wydad AC na Mamelodi Sundowns katika tuzo za…

Soma Zaidi »
Back to top button