Year: 2024

Michezo na Burudani

Lionel Messi afikisha mabao 846

MSHAMBULIAJI wa Argentina, Lionel Messi amefikisha mabao 846 mara baada ya kufunga matatu katika ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Thomas Tuchel akubali kuifundisha England

KOCHA wa zamani wa Chelsea, Thomas Tuchel amekubali kuwa kocha wa timu ya taifa ya England. Kwa mujibu wa BBC,…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Hatuondoi walinda amani – UN

NEW YORK : UMOJA wa Mataifa umegoma kuondoa walinda amani wake kusini mwa Lebanon na wataendelea kuwepo kusaidia raia wa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Gachagua kujadiliwa kesho

KENYA : JAJI wa Mahakama Kuu ya Kenya Chacha Mwita amesema  Mahakama Kuu ya Kenya imeruhusu Bunge la Seneti nchini…

Soma Zaidi »
Afya

SMZ kuwekeza miundombinu ya afya

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali amesema Serikali imeweka uwekezaji mkubwa wa miundombinu…

Soma Zaidi »
Afya

Tuwathamini watafiti wa kisayansi -Prof Mkenda

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema watafiti wa kisayansi wanapaswa kuthaminiwa kwani uwepo wao unawezesha msukumo…

Soma Zaidi »
Madini

Serikali yaingiza bilioni 287 sekta ya madini

DODOMA : WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde  amesema serikali imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 287 katika kipindi cha robo ya kwanza,…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Hatma ya Rigathi kujulikana kesho

KENYA : MAHAKAMA Kuu nchini Kenya imepanga kutoa maamuzi yake hapo kesho kuhusu bunge la seneti nchini Kenya kuendelea na…

Soma Zaidi »
Infographics

Wachimbaji watakiwa kujiandikisha uchaguzi mitaa

WACHIMBAJI wadogo wa madini Mkoa wa Geita wamehamasishwa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ili kushiriki katika uchaguzi wa viongozi…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Ukraine yakanusha kupeleka drone Mali

UKRAINE : SERIKALI ya Ukraine imekanusha taarifa za kuhusishwa na usambazaji wa droni kwa waasi wanaopigana Kaskazini mwa Mali. Taarifa…

Soma Zaidi »
Back to top button