Year: 2024

Sayansi & Teknolojia

Wanafunzi Udom watengeneza ‘roketi’

DAR ES SALAAM; CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM), kimefanikiwa kutengeneza roketi ambayo mpaka sasa ina uwezo wa kuruka urefu wa…

Soma Zaidi »
Featured

Robo fainali EURO 2024 kukamilika leo

BAADA ya Hispania na Ufaransa kutangulia nusu fainali za Kombe la Mataifa ya Ulaya(EURO2024) zinazofanyika Ujerumani, michezo miwili ya mwisho…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Waziri Mkuu ashiriki Great Ruaha Marathon

IRINGA; Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 06, 2024 ameshiriki katika mbio za Great Ruaha Marathon 2024 zilizofanyika katika hifadhi…

Soma Zaidi »
Uchumi

Rais Samia: Tumechoka kukopa, kunyanyasika

ZANZIBAR; RAIS Samia Suluhu Hassan amemtaka bosi mpya wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda kuhakikisha anaziba mianya ya…

Soma Zaidi »
Jamii

Rais Samia akemea ramli chonganishi

ZANZIBAR;  RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kuitumia nafasi yao vizuri kwa ajili ya kuwajengea imani wafuasi wao…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dk. Feleshi: CMA, mahakama zisomane

DAR ES SALAAM: MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Dk. Eliezer Feleshi ameitaka Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) kuwa na mifumo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Michango NBC Marathon kuinua sekta ya afya

DAR ES SALAAM: MBIO zenye hadhi ya kimataifa ya NBC Marathon zinatarajiwa kufanyika Julai 28, mwaka huu kwenye Uwanja wa…

Soma Zaidi »
Picha

Picha: Uapisho

ZANZIBAR; Rais wa  Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, akiwaapisha viongozi wateule kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu, Zanzibar leo Julai…

Soma Zaidi »
Sanaa

Mtanzania aweka rekodi Ufaransa

PARIS, Ufaransa: Mwanamitindo Mtanzania, Anjali Borkhataria ameendelea kuiheshimisha nchi baada ya kuwa mwanamitindo wa kwanza kutumbuiza kwenye onesho la ‘pop-up’,…

Soma Zaidi »
Featured

Argentina yatangulia nusu fainali Copa America

MABINGWA watetezi wa Kombe la Mataifa ya Amerika Kusini, Argentina imetinga nusu fainali ya michuano hiyo baada ya kuitoa Ecuador…

Soma Zaidi »
Back to top button