Year: 2024

Afya

NHIF yabaini wanachama hewa zaidi 100 Tanga

TANGA: MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Tanga umebaini uwepo wa wanachama hewa wasio halali zaidi 130…

Soma Zaidi »
Madini

Serikali yasitisha uchenjuaji dhahabu mgodi EMJ Simiyu

SIMIYU: Serikali wilayani Busega Mkoa wa Simiyu, imesitisha shughuli za uchenjuaji wa dhahabu katika mgodi wa EMJ kutokana na wananchi…

Soma Zaidi »
Jamii

Matunda kampeni ya kumtua Mama ndoo kichwani

MTWARA: SERA ya kumtumia Mama Ndoo Kichwani imewezesha upatikanaji wa maji safi na salama kwa asilimia 100 katika vijiji vyote…

Soma Zaidi »
Bunge

Wabunge: Gharama kuhamisha fedha benki, simu bado kubwa

DODOMA; KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imeishauri Serikali kufanya mapitio ya gharama za miamala kutoka mtandao mmoja wa simu kwenda…

Soma Zaidi »
Bunge

Wabunge wataka matumizi fedha taslimu yapunguzwe

DODOMA; Wabunge wameitaka Serikali kuhimiza kupunguza matumizi ya fedha taslimu, kwani ni moja ya changamoto ya ukusanyaji kodi. Kauli hiyo…

Soma Zaidi »
Bunge

Leseni mpya 1,126 kutolewa michezo ya kubahatisha

DODOMA. BODI ya Michezo ya Kubahatisha nchini imepanga kutoa leseni 12,456 katika mwaka wa fedha 2024/25. Bunge limeelezwa. Akiwasilisha bungeni…

Soma Zaidi »
Bunge

Mbunge: TRA ni wavivu wa kufikiri

DODOMA; Mbunge wa Mbozi, George Mwenisongole, amesema Wizara ya Fedha kupitia Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) ni wavivu wa kufikiri.…

Soma Zaidi »
Bunge

Wizara ya Fedha yaliomba Bunge Sh tril.18.17

DODOMA; WIZARA ya Fedha imeomba Bunge liidhinishe matumizi ya jumla ya Sh trilioni 18.7 kwa mwaka wa fedha 2024.25. Akiwasilisha…

Soma Zaidi »
Bunge

Raha za Yanga hadi bungeni

DODOMA; YANGA juzi ilitwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB pale Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar…

Soma Zaidi »
Bunge

Idadi watu wenye ulemavu yaongezeka

DODOMA; KIWANGO cha watu wenye ulemavu nchini kimeongezeka hadi asilimia 11.2 mwaka 2022 kutoka asilimia 9.3 ilivyokuwa mwaka 2012, Bunge…

Soma Zaidi »
Back to top button