Year: 2024

Bunge

Majaliwa: Wazazi fuatilieni watoto shuleni

DODOMA; WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wazazi na walezi wafuatilie mienendo ya watoto wao waendapo shuleni ikiwemo na mahudhurio na…

Soma Zaidi »
Jamii

Polisi yadaka wezi wa magari, bajaji

DAR ES SALAAM: JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewakamata watu wanne kwa tuhuma za wizi wa…

Soma Zaidi »
Jamii

Waziri atumia bodaboda kukagua athari za mafuriko

MOROGORO; Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa  amelazimika kutumia usafiri wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watoa huduma bima za afya watakiwa kujisajili

DAR ES SALAAM: Watoa huduma za wanaotumia bima za afya wametakiwa kujisajili Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Ili…

Soma Zaidi »
Sanaa

Gara B atuma salamu Basata

DAR ES SALAAM; MSHEREHESHAJI wa matukio mbalimbali nchini Godfrey Deogratius Rugalabamu maarufu ‘Gara B’, ameliomba Baraza la Sanaa (BASATA) kuandaa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Makonda awapa somo watendaji Longido

ARUSHA;  MKUU wa Mkoa wa Arusha , Paul Makonda amewataka watendaji na viongozi wa ngazi zote za Wilaya ya Longido…

Soma Zaidi »
Jamii

Walimu kuzawadiwa ufaulu wa watoto

DAR ES SALAAM; WAZIRI wa Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amewataka walimu wa Shule ya Msingi Mlimani Dar es Salaam kufanya…

Soma Zaidi »
Bunge

Mabingwa wa nchi watambulishwa bungeni

DODOMA; VIONGOZI na wachezaji wa Klabu ya Yanga wametambulishwa bungeni leo walipohudhuria vikao vya bunge kwa mwaliko rasmi wa Waziri…

Soma Zaidi »
Jamii

Dalili, namna ya kusaidia anayetaka kujiua

DAR ES SALAAM; JUZI na jana baadhi ya vyombo vya habari vilikuwa na taarifa kuwa, Frateri wa Kanisa Katoliki Jimbo la…

Soma Zaidi »
Jamii

Namna ya kufanya mbwa asile chakula cha adui

DAR ES SALAAM; MIONGONI mwa mambo muhimu katika ufugaji wa mbwa bora kwa ajili ya ulinzi, ni pamoja na kumpa…

Soma Zaidi »
Back to top button