Year: 2024

Biashara

‘Tutaendelea kuweka mazingira mazuri ya biashara’

ARUSHA; RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema serikali itaendelea kuweka mazingira mazuri ya biashara katika sekta binafsi, ili…

Soma Zaidi »
Jamii

TMDA: Hakuna dawa ya kuongeza makalio, matiti

IRINGA; USIDANGANYIKE na matangazo kuwa unaweza kupata dawa za kuongeza unene wa makalio, matiti au kiungo kingine chochote cha mwili!…

Soma Zaidi »
Madini

Jukwaa sekta ya madini kufanyika Arusha Mei 22

ARUSHA: Jukwaa la Tatu la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika sekta ya madini litafanyika Mei 22 hadi 24, 2024…

Soma Zaidi »
Bunge

Wizara yaanika vipaumbele maendeleo ya jamii

DODOMA; WAZIRI wa aendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima amesema mwaka wa Fedha 2024/25 ,…

Soma Zaidi »
Bunge

TSN kujiimarisha kidijiti, mauzo kuongezwa 30%

WIZARA ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imelieleza Bunge kuwa katika mwaka wa fedha 2024/25 Kampuni ya Magazeti ya…

Soma Zaidi »
Biashara

India yaonesha nia duru ya tano mnada wa vitalu

DAR ES SALAAM: Ubalozi wa India nchini umekutana na kufanya mazungumzo na Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli…

Soma Zaidi »
Afya

‘Jihadharini na dawa za kutembeza kwenye mabasi, mitaani’

IRINGA: SERIKALI imehadharisha umma dhidi ya dawa zinazotembezwa mkononi ikiwa ni pamoja na zinazouzwa katika vyombo vya usafiri kinyume na…

Soma Zaidi »
Tanzania

TFS, wadau mazao ya misitu wateta

ARUSHA: WAVUNAJI wa mazao ya misitu wametakiwa kuvuna maeneo yao waliyopewa ili kuiwezesha serikali kupata mapato. Akizungumza kwa niaba ya…

Soma Zaidi »
Jamii

Wanaohamishwa wapewe taarifa mapema – Prof Tibaijuka

DAR ES SALAAM: ALIYEKUWA Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka amesema serikali inapohitaji kuwahamisha raia kutoka…

Soma Zaidi »
Bunge

‘Serikali iweke nguvu madhara ya teknolojia kwa watoto’

DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo ameishauri Serikali kuwekeza katika kuishauri jamii madhara ya matumizi kupita kiasi ya…

Soma Zaidi »
Back to top button