Year: 2024

Tanzania

Ujenzi daraja mzinga, upanuzi barabara Mbagala kuanza

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametembelea eneo la daraja la Mzinga Mbagala Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam, kukagua…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Filamu ya Chama mwaka 2024

USAJILI wa kiungo wa Yanga Clatous Chama kwenda kutoka Simba ulitikisa nchi kwa mwaka 2024 huku mashabiki wa pande zote…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Twiga Stars ilitikisa 2024

MIONGONI mwa matukio yasiyosahau lika mwaka huu ni pamoja na kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika kwa Timu ya Taifa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tamasha la Msangamkuu Beach lazinduliwa

MKUU wa Wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipaya amezidua rasmi Tamasha la Msangamkuu Beach Festival msimu wa nne linalofanyika katika Kata…

Soma Zaidi »
Featured

Watu 179 wafa ajali ya ndege Korea Kusini

KOREA KUSINI: WATU 179 wamekufa baada ya ndege kuanguka wakati ikitua katika uwanja wa ndege wa Muan nchini Korea Kusini.…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba mwamba kileleni

SIMBA imemaliza mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa kileleni mwa msimamo baada ya kuifunga Singida Black Stars…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Yanga kuendeleza moto?

DAR ES SALAAM; YANGA leo watakuwa wanaikaribisha Fountain Gate FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Uwanja wa KMC,…

Soma Zaidi »
Jamii

Gari lateketea moto, 6 wafa

RUVUMA; WATU sita wamefariki dunia baada ya gari dogo aina ya Prado lenye namba za usajili T647 CVR walilokuwa wanasafiria…

Soma Zaidi »
Jamii

Daladala 37 zasaidia mwendokasi Mbezi

DAR ES SALAAM: DALADALA 37 zimepatiwa leseni za muda kwa ajili ya kutoa huduma za usafiri barabara ya Morogoro sambamba…

Soma Zaidi »
Jamii

Adakwa kwa kuibia simu wagonjwa Mloganzila

DAR ES SALAAM; HOSPITALI ya Taifa Muhimbili, Tawi la Mloganzila imemkamata mtu mmoja kwa tuhuma za wizi wa mali, zikiwemo…

Soma Zaidi »
Back to top button