Year: 2024

Kimataifa

Ujerumani yanasa vijana watatu kwa ugaidi

POLISI nchini Ujerumani wamewakamata vijana watatu kwa tuhuma za kupanga shambulizi la kigaidi. Kwa mujibu wa waendesha mashtaka nchini humo…

Soma Zaidi »
Jamii

Vilio vyatawala miili ya watoto waliofia mtoni

ARUSHA; HUZUNI na vilio vimetawala kwa wazazi, ndugu na jamaa, nje ya mochwari ya Kituo cha Afya cha Muriet kilichopo…

Soma Zaidi »
Picha

Wenza wa viongozi kwenye ibada ya Sokoine

ARUSHA; Baadhi ya wenza wa viongozi wakiwa kwenye lbada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya miaka 40 tangu kutokea kifo…

Soma Zaidi »
Jamii

Watoto waliokufa maji Arusha wafikia 5

ARUSHA: Idadi ya watoto waliokufa maji kutokana na gari walilikuwa wamepanda kusombwa na maji imefikia watano baada ya miili mingine…

Soma Zaidi »
Jamii

Watoto wadai dereva alipuuza ushauri wa kuvuka mto

ARUSHA: Mashuhuda na watoto waliokuwa katika basi la wanafunzi la Shule ya Ghati Memorial ambalo limesombwa na maji na kusababisha…

Soma Zaidi »
Jamii

Wavuvi waomba elimu ya uokozi majini

WAVUVI katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma wameomba kupewa elimu ya uokozi iwasaidie inapotokea dhoruba na vyombo vyao kuzama majini. Katibu…

Soma Zaidi »
Fasihi

Prof. Gurnah kubariki Tuzo ya Mwalimu Nyerere

DAR ES SALAAM: Mshindi wa Tuzo ya Nobel ya mwaka 2021 katika fasihi, Prof. Abdulrazak Gurnah, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi…

Soma Zaidi »
Jamii

Jengo la Yanga lasalimika bomoabomoa Mto Msimbazi

DAR ES SALAAM: Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema jengo la Timu…

Soma Zaidi »
Jamii

‘Kufikia 2030 korosho ibanguliwe nchini’

MTWARA: SERIKALI imesema korosho zote zinazozalishwa katika mikoa mbalimbali inayolima zao hilo zitabanguliwa hapa nchini ifikapo mwaka 2030. Akizungumza mkoani…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Amorim: Liverpool ? hapana!

BAADA ya tetesi kuwa kocha wa Sporting Lisbon, Ruben Amorim amekubaliana na Liverpool kuifundisha msimu ujao, Mreno huyo amekanusha kuchukua…

Soma Zaidi »
Back to top button