Year: 2024

Siasa

Siwezi kujiunga CCM – Juma Duni

MWENYEKITI mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji amesema hawezi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi. Akizungumza leo Machi…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

EPL kusimama wiki tatu

BAADA ya raundi ya 28 Ligi Kuu England (EPL) wikiendi hii, ligi hiyo sasa itasimama kwa wiki tatu kupisha michezo…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Arsenal yakaa kileleni msimamo EPL

ARSENAL sasa imekaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England, baada ya sare ya bao 1-1 kati ya Liverpool na…

Soma Zaidi »
Africa

Rais Ivory Coast kugombea tena

RAIS wa zamani wa Ivory Coast, Koudou Gbagbo Laurent amekubali kugombea urais katika uchaguzi wa 2025. Koudou Gbagbo alikubali kuongoza…

Soma Zaidi »
Africa

Kagame kuwania tena urais

RAIS Paul Kagame wa Rwanda amechaguliwa na chama chake cha Rwandan Patriotic Front (RPF) kuwa mgombea urais katika uchaguzi unaotarajiwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanafunzi Arusha wafundwa athari dawa za kulevya

MAMLAKA ya Kudhiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA)Kanda ya Kaskazini pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mafuriko yauwa 19 Indonesia

MVUA kubwa iliyosababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi katika kisiwa cha Sumatra nchini Indonesia, imeuwa takriban watu 19 na wengine…

Soma Zaidi »
Uwekezajia

Rais Samia bega kwa bega sekta binafsi

DODOMA :NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kama mlezi wa…

Soma Zaidi »
Fedha

TRA yajidhatiti kuondoa makadirio kodi kandamizi

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imejidhatiti kuondoa makadirio ya kodi yanayodaiwa kuwa kandamizi kwa wafanyabiashara ili kufikia adhma ya kuhamasisha…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Onana arejesha furaha Simba

TANGA: Simba wameondoka na alama zote tatu kwa kuitandika Coastal Union 2-1 mchezo uliomazika muda mchache uliopita Uwanja wa CCM…

Soma Zaidi »
Back to top button