Year: 2024

Kimataifa

Rais Ufaransa kuwasilisha mswada usaidizi wa kufa

RAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron anakusudia kupendekeza mswada wa kuhalalisha msaada wa kufa kwa wagonjwa mahututi. Katika mahojiano yaliyochapishwa leo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Pinda ahimiza busara utatuzi migogoro ya ardhi

MWANZA: NAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kutumia…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wafundwa uendeshaji mashauri ya watoto mahakamani

KIGOMA: WADAU 64 walio mstari wa mbele katika kushughulikia mashauri ya watoto mahakamani wanahudhuria mafunzo ya siku tano yanayolenga kuboresha…

Soma Zaidi »
Bunge

Wapongeza Sh bilioni 3.5 kutumika uzalishaji vifaranga vya samaki

KINGOLWIRA, Morogoro: KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Utawala , Katiba na Sheria imeipongeza Serikali kwa kutoa fedha zaidi ya…

Soma Zaidi »
Fedha

Majaliwa aongoza mkutano mapendekezo ya bajeti

DODOMA: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameongoza Mkutano wa Wabunge wote wa kupokea Mapendekezo ya Serikali ya Mpango na Kiwango cha…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Gamondi baba lao Ligi Kuu

DAR ES SALAAM: KOCHA wa Young Africans SC, Miguel Gamondi ametwaa tuzo ya Kocha Bora wa mwezi Februari wa Ligi…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Matampi Mchezaji Bora Ligi Kuu Februari

DAR ES SALAAM: MLINDA lango wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemkrosia ya Congo (DRC) na klabu ya Coastal Union ya…

Soma Zaidi »
Jamii

Aagiza mgomo daladala Mwanza usitishwe

MWANZA: MADEREVA wa usafiri wa umma ’daladala’ Mkoa wa Mwanza wametakiwa kuacha mgomo na kurejea barabarani ili waendelee kuhudumia umma.…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ajali yaua tisa na kujeruhi Bagamoyo

BAGAMOYO, Pwani: WATU tisa wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na…

Soma Zaidi »
Jamii

Wananchi wataabika mgomo daladala Mwanza

MWANZA: MADEREVA wa usafiri wa umma, maarufu ‘daladala’ wamegoma mkoani Mwanza, huku taarifa za awali zikieleza sababu ni kushinikiza kuondolewa…

Soma Zaidi »
Back to top button