UTURUKI imesaini mkataba wa ushirikiano wa mafuta na gesi asilia baharini na Somalia , Wizara ya Nishati ya Uturuki ilisema.…
Soma Zaidi »Year: 2024
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mara moja mapigano nchini Sudan. Antonio Guterres alizitaka pande zinazozozana…
Soma Zaidi »UHAMISHO: Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya . Julius Mtatiro aliyekuwa Mkuu wa…
Soma Zaidi »RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Kindamba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART). Kindamba anachukua nafasi…
Soma Zaidi »RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya baadhi ya viongozi ambapo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas…
Soma Zaidi »RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe. Taarifa hiyo imetolewa leo Machi 9, 2024…
Soma Zaidi »ZANZIBAR: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa jamii kuendelea na jitihada zake…
Soma Zaidi »TANGA: Wanawake wa Kata ya Kideleko halmashauri ya mji wa Handeni wamepanda miti na kufanya usafi katika bwawa la maji la…
Soma Zaidi »LINDI: Yanga imerejea kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania bara baada ya kuitandika Namungo FC 3-1 katika mchezo uliomalizika mda mchache…
Soma Zaidi »KATAVI: Baadhi ya wanaume,walezi na ndugu mbalimbali wanaopeleka watoto wanaotokea katika mazingira magumu katika vituo vya kulelea watoto yatima wameombwa…
Soma Zaidi »







