Year: 2024

Siasa

Dorothy Semu amrithi Zitto

ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amechaguliwa kuwa Kiongozi wa ACT akichukuwa nafasi ya Zitto…

Soma Zaidi »
Siasa

Mchinjita ashinda makamu mwenyekiti Bara

MKUTANO Mkuu wa ACT Wazalendo umemchagua Isihaka Mchinjita kuwa Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho kwa kupata kura 517 sawa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Salah arejea mazoezini

LIVERPOOL, England: Nyota wa Liverpool, Mohamed Salah amerejea mazoezini leo huku timu yake ikijiandaa kuikabili Manchester City siku ya Jumapili…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Jude afungiwa mechi mbili

KIUNGO wa Real Madrid, Jude Bellingham amefungiwa michezo miwili ya La Liga baada ya kumfanyia vurugu mwamuzi katika mchezo ulioisha…

Soma Zaidi »
Diplomasia

‘Uhusiano wa Tanzania, Urusi ni wa kihistoria’

UHUSIANO thabiti kati ya Urusi na Tanzania, ulioanzia miaka ya 1960 mapema wakati Tanzania ilipojitenga na utawala wa ukoloni wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Barabara Karagwe-Burigi Chato kukamilika Novemba

BARABARA ya kimkakati ya Karagwe kupitia Hifadhi ya Taifa ya Burigi Chato kilometa 60 inayotegemewa kwa usafirishaji wa mizigo katika…

Soma Zaidi »
Tanzania

Barabara kukarabatiwa Kagera

SERIKALI imetoa Sh milioni 982 kwa Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) ili kukarabati barabara zilizoharibiwa na mvua…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bashungwa amsimamisha kazi Meneja Tanroads Lindi

LINDI: WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Mhandisi Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia…

Soma Zaidi »
Jamii

Watoa vifaa vya ujenzi maporomoko Hanang

MANYARA: BENKI ya Biashara  ya Mkombozi imetoa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya Sh milioni 7.7, ikiwa na lengo la …

Soma Zaidi »
Jamii

Mkurugenzi Halmashauri Ngorongoro mambo safi

ARUSHA: Kamati ya siasa Mkoa wa Arusha ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro,…

Soma Zaidi »
Back to top button